Nayachukia maisha sababu ya kifo

Asante sana mdogo ake na mimi πŸ€—
"When breath becomes air" kitabu kizuri sana, nimekisoma pia!
 
Bora kifo ni kituo cha ukomo wa mateso ya duniani ,assume unaumwa then unaishi milele na maumivu hayo ...Jaalia ni maskini halafu uishi hivyo miaka kama 100 hivi hayo mateso yake.

Bora kufa ni kitu bora zaidi kuumbwa na Mungu.
 
Pole sana. Inauma lakini inatusaidia kuamini ni kweli sisi si wa kudumu hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…