Nayapenda sana maisha ya instagram

Hivi yule dada muongeaji wa marekani bado yupo huko?
 
Kufananisha majembe ya jf na vilaza wa insta ni upunguani, hapa watu wana mijadala mizito ya kujenga nchi utafananishaje na sehemu ambayo watu wanaposti ata chupi mpya.

Na kumbuka ukilog in insta wanakulink moja kwa moja na fb account yako ko soon watu wa fb wote watahamia insta
 
Sijawahi kufikiria kujiunga na hiyo forum nasikiaga tu kwa watu.
 
Mawazo yako hayana tofaut na Mtu anayekula ugal samaki kwa hisia,Madada weng wanang'arishwa na makamera ya sim,unauona uso soft au ngoz line kumbe wa kawaida,Mtu unamuona maisha mazur,kumbe Gar au Nyumba za jiran au kuazima,ni upuuz kuyaamin maisha ya Watu wa Mtandao,japo wengine ndiyo uhalisia na hao ni wachache,Mtandao ni miongon mwa sehem hatar waweza kukujenga au kukuharibu,usiish kwa hisia ndugu
 
Jux yupo china, na amepost picha za graduation yake kwenye instagram... Hapo unasemaje??
Vipi kuhusu wakina Customer care(mdananda)... Deile wanapost mapicha ndani ya ghuangzhou
Hahahah wadananda nawapenda sana hawa washkaji
 
Ila kuna wengine wanalisha familia kwa Instagram wakuu ....

Instagram ni best network wakuu ila kwa asiyejua umuhimu wake ndo hivo kama mnavyosema

Wengine tunatangaza business zetu za ujasiriamali uku na ukijumlisha udalali alhamdulilah wazee wetu wanapata kidogo via mpesa

Instagram and JF are best network for me. Anayeiponda Instagram anakosea sana,wakupondwa ni wale wanaotumia vibaya
 
hata shetani alikuwa malaika sema bas tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…