Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Sawa wewe endelea nao mm siutakiiHujui utamu wa IG wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa wewe endelea nao mm siutakiiHujui utamu wa IG wewe!
waziri mkuu lemutuzi mbebez[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kweli asee
Mange ni Rais wa Insta
Kweli kabisa mkuu, huku panapendeza sanajamaa angu hunag comments ndefu na za kuchukza kwa style yako insta hakukufai watakumeza wanao vaa wanapendeza bora huku
sana na ukiangalia na sura zetu za kwenye avatar zilivo bora tubaki jf tuKweli kabisa mkuu, huku panapendeza sana
Yeah mkuu..pamoja sanasana na ukiangalia na sura zetu za kwenye avatar zilivo bora tubaki jf tu
Kule kwenye application full kunizingua kuna vitu sivielewi daaah..Bila mange kimambi instagram ningekuwa nimefuta kitambo,
naskia amesema mmchangie ma hela ni kweli au uongoKule kwenye application full kunizingua kuna vitu sivielewi daaah..
[emoji23] sio shari mkuu..cheer upSawa wewe endelea nao mm siutakii
Huyo hapana asee...le mshatiz siku hizi anapata comment 3 or 2!!!?waziri mkuu lemutuzi mbebez
Kweli ni 1 USD per month..naskia amesema mmchangie ma hela ni kweli au uongo
Naunga mkono hojaMaisha ya JF kwa upande wangu ni mazuri mno kwa maana tunatumia akili na fikra pevu kuchambua hoja na mijadala mbalimbali
Maisha ya kupost picha kila saa na kuigiza siyawezi bora hapa JF naweza nikapata idea nzuri ya maisha kuliko uuzaji sura kule instagram
hongereni wakuu mjitahid hivohivo kwa kaz anayofanya si ndogo, kutuaminisha nyeupe kuwa nyeus si mchezoKweli ni 1 USD per month..
Buku 2 hiyooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama Hauna sura ya Kuuza huwezi Tumia Insta!Katika vitu ambavyo sivitumii na sina mpango huo ni instagram&fb japo fb niliwahi kutumia.
Haswaaa my lovely sistaExactly Broo ndiyo maana na kulove....
Kwavile tumetoka tumbo mojaaaa[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji779]Haswaaa my lovely sista