Nayapenda sana maisha ya instagram

Nayapenda sana maisha ya instagram

Maisha ya JF kwa upande wangu ni mazuri mno kwa maana tunatumia akili na fikra pevu kuchambua hoja na mijadala mbalimbali

Maisha ya kupost picha kila saa na kuigiza siyawezi bora hapa JF naweza nikapata idea nzuri ya maisha kuliko uuzaji sura kule instagram
Naunga mkono hoja
 
Asanteni sana JF! Mimi wa Kimbangulile na wa Masaki sote tuko sawa hapa! Insta hata sitaki kujua ni duka gani! Viva JF! Viva!
 
Back
Top Bottom