Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
Wasalaam,
Yule mwanamke wa kiganda niliyevutiwa nae kwa jinsi alivyo na adabu,mpole,mcheshi na mchapakazi, Tena anayejua mahaba kuliko wanawake wote wa Tanzania.....
Baada ya kusikia nimezalisha mwanamke mwingine mkoani huko amekuja juu na kujibebesha mimba yangu hatimaye na sasa Mimi ndo nakuona alooooh usiombe wazee
Sio yeye Tena ni Mix by Yas navurungwa mpaka namwona Mh. Doris Gwajima huyu hapa atanifunga na ndio ka nishasusiwa naambiwa Mimi ndo nnashida siwezi tia mimba wanawake tofauti kwa wakati mmoja hivo ntuliye na huyu mtoka mbali....
Kataa ndoa nawaona kwa mbaliiii sijui nije huko??