Naye mwanamama akawavuruga makutano

Naye mwanamama akawavuruga makutano

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Ilipofika mwisho wa juma wakati wa kuiandaa sabato ulipofika, habari ikaenea uyahudi yote kuwa yule mwanamke msamaria amemwacha mumewe, kijana tajiri wa huko madale.

Furaha ikasambaa uyahudi yote kwa maana watu walijiuliza "je, yawezekanaje myahudi kumuoa msamaria? Je, haikufaa yeye kumchukua mwanamke wa ukoo wetu?"

Ndipo yule mwanamke aliyekimbilia uhamishoni kuhofia utawala wa mfalme yohana wa tano akapaza sauti yake akisema "enyi wana wa wayahudi, sikuwaambieni kuwa watu hawa watatengana? Na sasa limetimia andiko langu"

Wakati yakisambaa maneno hayo katika uyahudi yote, yule mwanamke aliyesemwa amemwacha mumewe akapita katikati ya hekalu na kusema kwa sauti kuu "ni nani aliyesema nimemwacha mume wangu, jambo hili halitakaa litokee kamwe" ndipo mafarisayo na waalimu wa sheria wakajiuliza "jambo hili lina maana gani?"

Matendo ya zari 23:2-4
 
Na hata jogoo alipowika mara tatu yule myahudi akapeleka shauri kwa pilato akisema huyu msamaria amenichukulia mume,je hakuna wasamaria wafaao kumuoa? Pilato akajibu hayo uyatazame wewe mwenyewe.
 
Samahi Mkuu
Huwa unawezaje kuwa wa kwanza kureply kwa nyuzi nyingi namna hii kwa siku, na mara zote inapokuja nyuzi mpya............
kuna mtambo nimeuseti mahali kwenye simu tu unaleta alerts mpya
 
kuna mtambo nimeuseti mahali kwenye simu tu unaleta alerts mpya
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
unaleta alert ya thread mpya...........
 
Back
Top Bottom