Naye Rais Mwinyi wa Zanzibar Atunukiwa PhD ya Heshima Katika Uongozi Unaoacha Alama na Chuo Kikuu Cha Zanzibar (SUZA)

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar.

Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini Mchango wa Uongozi wake Unaoacha Alama na historia itakayokumbukwa wakati wote.

Hafla ya kutunukiwa Shahada hiyo imefanyika leo tarehe 5 Disemba 2024 katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu wakati wa Mahafali ya 22 ya Wahitimu wa mwaka 2024.

Shahada hiyo ya Heshima ya Uchumi ametunukiwa kuthamini Mchango wake na Mafanikio makubwa yaliofikiwa Zanzibar hususan Ukuaji wa Uchumi na Maendeleo yaliopatikana Kipindi kifupi cha Uongozi wake wa miaka minne akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Rais Dk Mwinyi amekishukuru Chuo hicho kwa kuthamini juhudi na kazi anazofanya kwa ajili ya Maendeleo ya nchi.

Aidha Rais Dk.Mwinyi amebainisha kuwa Shahada hiyo aliotukuwa Inaakisi kazi nzuri inayoifanya na Serikali anayoiongoza na itamuongezea hamasa ya Maendeleo zaidi.

Kwa upande mwingine Rais Dk.Mwinyi ameahidi kuienzi heshima hiyo na kuwahakikishia wananchi kuendelea kuwatumikia kwa uwezo wake wote na sio mwisho wa safari bali mwanzo wa hatua kubwa ya maendeleo yajayo.

Screenshot 2024-12-05 164608.png
 
Huyu ana deserve. Siyo yule mwingine

Kwa upande mwingine Rais Dk.Mwinyi ameahidi kuienzi heshima hiyo na kuwahakikishia wananchi kuendelea kuwatumikia kwa uwezo wake wote na sio mwisho wa safari bali mwanzo wa hatua kubwa ya maendeleo yaja
 
Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar.

Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini Mchango wa Uongozi wake Unaoacha Alama na historia itakayokumbukwa wakati wote.

Hafla ya kutunukiwa Shahada hiyo imefanyika leo tarehe 5 Disemba 2024 katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu wakati wa Mahafali ya 22 ya Wahitimu wa mwaka 2024.

Shahada hiyo ya Heshima ya Uchumi ametunukiwa kuthamini Mchango wake na Mafanikio makubwa yaliofikiwa Zanzibar hususan Ukuaji wa Uchumi na Maendeleo yaliopatikana Kipindi kifupi cha Uongozi wake wa miaka minne akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Rais Dk Mwinyi amekishukuru Chuo hicho kwa kuthamini juhudi na kazi anazofanya kwa ajili ya Maendeleo ya nchi.
Aidha Rais Dk.Mwinyi amebainisha kuwa Shahada hiyo aliotukuwa Inaakisi kazi nzuri inayoifanya na Serikali anayoiongoza na itamuongezea hamasa ya Maendeleo zaidi.

Kwa upande mwingine Rais Dk.Mwinyi ameahidi kuienzi heshima hiyo na kuwahakikishia wananchi kuendelea kuwatumikia kwa uwezo wake wote na sio mwisho wa safari bali mwanzo wa hatua kubwa ya maendeleo yajayo.
Ndio maana akina doto.magari wanawasimanaga wanaoitwa wasomi wa Tanzania. Fikra finyu sana.
 
Huyu akipewa ni sawa kwasababu anamiliki doctorate yake aliyosomea kabisa. Kuna wengine wanamiliki vi certificate vya kuunga unga halafu wakitunukiwa shahada za msaada tu, wanataka na title zibadilike waitwe madokta.
 
Kwanini Xi Jinping, Vladimir Putin, Joe Biden, Macron, Trump na wengine kama hao hawatunikiwi hizo PhD fake!!?
 
Huyu akipewa ni sawa kwasababu anamiliki doctorate yake aliyosomea kabisa. Kuna wengine wanamiliki vi certificate vya kuunga unga halafu wakitunukiwa shahada za msaada tu, wanataka na title zibadilike waitwe madokta.
Ni Daktari wa binadamu
 
Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar.

Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini Mchango wa Uongozi wake Unaoacha Alama na historia itakayokumbukwa wakati wote.

Hafla ya kutunukiwa Shahada hiyo imefanyika leo tarehe 5 Disemba 2024 katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu wakati wa Mahafali ya 22 ya Wahitimu wa mwaka 2024.

Shahada hiyo ya Heshima ya Uchumi ametunukiwa kuthamini Mchango wake na Mafanikio makubwa yaliofikiwa Zanzibar hususan Ukuaji wa Uchumi na Maendeleo yaliopatikana Kipindi kifupi cha Uongozi wake wa miaka minne akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Rais Dk Mwinyi amekishukuru Chuo hicho kwa kuthamini juhudi na kazi anazofanya kwa ajili ya Maendeleo ya nchi.
Aidha Rais Dk.Mwinyi amebainisha kuwa Shahada hiyo aliotukuwa Inaakisi kazi nzuri inayoifanya na Serikali anayoiongoza na itamuongezea hamasa ya Maendeleo zaidi.

Kwa upande mwingine Rais Dk.Mwinyi ameahidi kuienzi heshima hiyo na kuwahakikishia wananchi kuendelea kuwatumikia kwa uwezo wake wote na sio mwisho wa safari bali mwanzo wa hatua kubwa ya maendeleo yajayo.

Hao Waarabu kwenye picha ni Wazanzibar ....!!?
 
Huyu akipewa ni sawa kwasababu anamiliki doctorate yake aliyosomea kabisa. Kuna wengine wanamiliki vi certificate vya kuunga unga halafu wakitunukiwa shahada za msaada tu, wanataka na title zibadilike waitwe madokta.
Ubogus mzigo? Rais Mwinyi hana doctorate degree, siyo kila Dr ni PhD.
Huyo ni Dr wa binadàmu kama wale unaowakuta mahospitalini. Ila yeye kasomasoma uturuki siyo siyo bi mchele na diploma yake kajaziwa ma PhD lukuki.
 
Back
Top Bottom