Nazareth Ulete ndio Mtangazaji bora wa mpira mguu Kwasasa hapa nchini

kukumsela

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
725
Reaction score
917
Wakuu poleni na majukumu huyu mwamba NAZARETH UPETE ndio Mtangazaji bora wa mpira wa Mguu kwasasa hapa nchini akifuatiwa na Gharibu Mzinga
 
Heading irekebishwe. Huyo dogo yupo vizuri sana yaani unaangalia au kusikiliza mpira huku unaongeza kitu. Yaani anatangaza na kutoa somo
 
Wakuu poleni na majukumu huyu mwamba NAZARETH UPETE ndio Mtangazaji bora wa mpira wa Mguu kwasasa hapa nchini akifuatiwa na Gharibu Mzinga
Sijawahi juta kumsikiliza hakika anaujua mpira.
Kuutangaza na hata kuuchambua.

Namkubali na kile kiarabu chakeutaskia,( mujarrab jaribu, alhulah saitaa atiat mdhraa bil halua )🤣
Hua nafrah sana.
 
Ana unnecessary phrases ajikite kutoa commentary aache siasa na opinionising wakati wa commentary...otherwise anaweza kuwa kwenye top ten ila maguru wa football commentary wapo siyo yeye kwa sasa
 
Wakuu poleni na majukumu huyu mwamba NAZARETH UPETE ndio Mtangazaji bora wa mpira wa Mguu kwasasa hapa nchini akifuatiwa na Gharibu Mzinga
1. Nikisema mtasema mtangazaji hapitwi,
Wacha watazamaji wenyewe mjionee. Inafaa sana avutwe pale Azam tv ili tuwe tunafaidi kwenye kideo
 
Ana unnecessary phrases ajikite kutoa commentary aache siasa na opinionising wakati wa commentary...otherwise anaweza kuwa kwenye top ten ila maguru wa football commentary wapo siyo yeye kwa sasa
Hebu taja top 10 yako mkuu. Iwe based na watangazaji wa sasa hivi
 
Muhimu sana huu ushauri wako. Nafikiri siasa anaweka sababu yuko tbc
 
Hebu taja top 10 yako mkuu. Iwe based na watangazaji wa sasa hivi
1. Mpenja
2. Nurdin
3. Ngoda
4. Kabombe
5. Oscar
6. Labda hapa ndo aje huyo dogo...hao nilokutajia wanaujua mpira na wana utulivu ktk commentary zao hawana unnecessary noises
 
Ana unnecessary phrases ajikite kutoa commentary aache siasa na opinionising wakati wa commentary...otherwise anaweza kuwa kwenye top ten ila maguru wa football commentary wapo siyo yeye kwa sasa
Taja anaemzidi mkuu.
 
Wapo watkaoshangaa kwann mpenja hua hazungumziwi.
Ni anakupaji ila kiac tu Cha kawaida na hajui histr hasa za wachezaji hua anajing'ata sana hasa akianza swala la historia ya mchezaji.
 
1. Mpenja
2. Nurdin
3. Ngoda
4. Kabombe
5. Oscar
6. Labda hapa ndo aje huyo dogo...hao nilokutajia wanaujua mpira na wana utulivu ktk commentary zao hawana unnecessary noises
Weeee l!! usimuweke nafasi hio mpenja,
SI haba anajua ila haez mfikia dogo.
 
Mtangazaji bora wa mpira kwa hapa Tanzania ni GHARIB MZINGA tu.

Mpenja huwa anaweka maneno kupita kiasi yasiyo na maana.
Ghalib Sina shaka na hua hazungumziwi hi ni sabab Hana mbwembwe.
Ila ni mjuzi mzur WA kaz yake.
 
Upete Hana ujuzi wa kutangaza mpira, muda mwingi hatangazi mpira ila anaongea mambo yanayo husiana na mpira.
Mtangazaji namba Moja kaziyake ni kutangaza, yule anaye fanya backup Kwa mtangazaji tumwite namba mbili kazi yake ni kuongea/ kufafanua.
Upete anafaa kuwa mtangazaji namba mbili kwakua anapenda kuongelea mpira na si kutangaza.
Upete kwenye Television [emoji342] ndio hawezi kabisa Maana anatangaza kama ni matangazo ya redio ya mojakwamoja ambayo hadhira haioni tukio Bali inasikiliza.
 
Back
Top Bottom