Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni ukweli ambao mleta sledi anapaswa kuuchukuaUpete Hana ujuzi wa kutangaza mpira, muda mwingi hatangazi mpira ila anaongea mambo yanayo husiana na mpira.
Mtangazaji namba Moja kaziyake ni kutangaza, yule anaye fanya backup Kwa mtangazaji tumwite namba mbili kazi yake ni kuongea/ kufafanua.
Upete anafaa kuwa mtangazaji namba mbili kwakua anapenda kuongelea mpira na si kutangaza.
Upete kwenye Television [emoji342] ndio hawezi kabisa Maana anatangaza kama ni matangazo ya redio ya mojakwamoja ambayo hadhira haioni tukio Bali inasikiliza.
iko wazi.. jamaa anajuaWakuu poleni na majukumu huyu mwamba NAZARETH UPETE ndio Mtangazaji bora wa mpira wa Mguu kwasasa hapa nchini akifuatiwa na Gharibu Mzinga
kazi ya utangazaji kikawaida ni nyepesi ukiwa nje ya game,ukishaingia ndipo utaona ugumu wake, mtangazaji yeyote,huwa anapangiwa game za kutangaza mfano game tatu zinazokuja anapewa taarifa. Hivyo huingia chimbo kusoma historia ya team nzima wachezaji,makocha, pamoja na mifumo,nature na kila kitu kinachnihusu timu. Na huwa wana "nondo" wanazo zinazowawezesha waongee yote hayo. Kwa hiyo kusema Nazareth Upete anajua history kuliko wengine ni kuudanganya umma,labda tu kila mtu ana kile anachokipenda wapo wanaopenda sauti ya mpenja xa kudadavua tukio kwa umaridadi, wapo wanaopenda kusikia mtangazaji kila muda atoe history. Nakaribisha mashambulizi.Wapo watkaoshangaa kwann mpenja hua hazungumziwi.
Ni anakupaji ila kiac tu Cha kawaida na hajui histr hasa za wachezaji hua anajing'ata sana hasa akianza swala la historia ya mchezaji.