Nazarethi Utepe wa Tbc1 dhidi ya Baraka Mpenja wa Azam

Nazarethi Utepe wa Tbc1 dhidi ya Baraka Mpenja wa Azam

Bundakwetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
551
Reaction score
1,014
Kwa ambao mnatazama mashindano ya Kombe la Dunia yanayoendelea huko Qatar kupitia Tbc1, kuna yule mtangazaji anaitwa Nazareth Utepe na Baraka mpenja wa Azam.

Nani mwenye kutangaza vizuri pamoja na kutia manjonjo zaidi katika utangazaji wao?
 
Yeye kasema wewe ni nani upinge?
Screenshot_20221205-151258_1.jpg
 
Baraka hana mpinzani, huyu Utepe kinachomuharibia anataka kuweka mbwembwe nyingi wakati anatanga wakati maneno na misemo yenyewe hana, ila km atatulia katika kwenye mstari wake bila kulazimisha mbwembwe ambazo haziwezi atakuwa nouma
 
Uyo Upete hafai katika matangazo ya Moja Kwa Moja ya Television [emoji342] kwakua anaongea sana na mihemko mingi, alistahili atangaze mipira ya redioni ambayo msikilizaji haoni picha halisi.
Ajifunze wenzake wanao Tangaza mipira inayo onekana live hawana Makelele Kila wakati.
 
Naona wanafanana...mmoja anamuiga mwenzie..awali nilidhani Mpenja kumbe siye.
 
Natamani niseme Nazareth anajua ila sasa

Huyu mpenja nipo huku kwao wanampenda sana kiasi kuna wasiokuwa washabiki ila wanaenda kumsikiliza ndugu yao mwamba wa umalila .

Naogopa isije kuwa kuna anayenijua mwisho nifukuzwe kwenye vijiji vya watu [emoji3][emoji3]

Mwamba wa umalila , Fahari ya Isuto .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshenzi huyu kazi kumsifia Messi na kuweka unazi
Kumbe ndio yule aliyekuwa akitangaza Argentina vs Australia?
Aisee nilitamani ku mute sauti nisimsikie kabisa
Unazi mwingi, unprofessional, upuuzi
 
Mpenja asifananishwe na watangazaji ambao wanaonesha mahaba live kwa mchezaji mpaka unakereka, pia nazareth ana makelele sana.
Kumbe sio mimi pekee niliyekerwa na huu upuuzi
Anaonyesha pia mapenzi na bias kwa timu fulani wakati anatangaza, mara mashabiki wa kike wanaonyeshwa anaanza kupiga kelele kama kachanganyikiwa na mashabiki wanawake
 
Back
Top Bottom