Nazarethi Utepe wa Tbc1 dhidi ya Baraka Mpenja wa Azam

Nazarethi Utepe wa Tbc1 dhidi ya Baraka Mpenja wa Azam

Mshenzi huyu kazi kumsifia Messi na kuweka unazi
Sio Messi tu, anapenda kuwasifia mashabiki wanawake, kila wakati utasikia mashaallah uumbaji wa Mungu! Yaani anakuwa ni kama ana tamaa ya ngono
 
Mpenja hana nondo hilo ndo tatizo lake!!angeweza kuwa mc wa harusi tuu mpira awaachie kina mzinga
 
Huyu dogo anaiga utangazaji wa Mpenja. Anaiga sauti, anaiga hadi tabia. Ujinga wa kusifia Wanawake anauiga kwa Mpenja. Tulimsema Mpenja juu ya hili na ameacha. Naona huyu sasa ndo anakuja kichwa kichwa katika hilo hilo
 
Mpenja mpumbavu sana,kila ushindi wa utopolo anawananga Simba,lakini kila Simba akicheza anazungumza sana matukio ya waamuzi na kuwasemea wapinzani ili kuwaaminisha watazamaji kuwa mwamuzi yuko upande wa Simba.
Matukio ya waamuzi ambayo ni tata zaidi kwa upande wa yanga huwezi kumsikia akiyakuza wala hata kuyaongea.

Huwa naangalia mechi nimekata sauti yake kama TBC wapo hewani nasikilizia huko

JamiiForums mobile app
 
Pole sana. Kama utangazaji wa mpenja unakukwaza jua una matatizo ya akili wahi ukapate tiba mapema kabla hujaanza kuokota makopo
 
Kwa ambao mnatazama mashindano ya Kombe la Dunia yanayoendelea huko Qatar kupitia Tbc1, kuna yule mtangazaji anaitwa Nazareth Utepe na Baraka mpenja wa Azam.

Nani mwenye kutangaza vizuri pamoja na kutia manjonjo zaidi katika utangazaji wao?
Huyo Upete akheri hata ya Enock Bwigane au Sued Mwinyi
 
Back
Top Bottom