Bundakwetu
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 551
- 1,014
Ndiye mwenyewe, lau kama tunamuhoji sisi Waarabu wa Qatar ambao tunaishi Dar na Zanzibar kiembesamaki hawezi kutujibu wapi ametoa hiki kiarabu.Huyo Nazareti ndo huyu anaeongea kiarabu koko?
🤣Mshenzi huyu kazi kumsifia Messi na kuweka unazi
Jamaa anaweza sema kuna vitu anatakiwa apunguze na kuongeza vingineUyu jamaa bado mdogo first time namsikia nilijua babu ila asilewe sifa anasafari ndefu azam chukueni almasi hii ni kuifuta vumbi tu
Sent from my INE-LX1 using JamiiForums mobile app
Kumbe ndio yule aliyekuwa akitangaza Argentina vs Australia?Mshenzi huyu kazi kumsifia Messi na kuweka unazi
Kumbe sio mimi pekee niliyekerwa na huu upuuziMpenja asifananishwe na watangazaji ambao wanaonesha mahaba live kwa mchezaji mpaka unakereka, pia nazareth ana makelele sana.
🤣🤣Kumbe ndio yule aliyekuwa akitangaza Argentina vs Australia?
Aisee nilitamani ku mute sauti nisimsikie kabisa
Unazi mwingi, unprofessional, upuuzi