mkuu uchochezi gani tena hapa.watangazie majirani zako yupo mzibua choo bure na bila ya maumivu ya pesahaki ya nan huu n uchochezi wa kiwango cha lami
Jina lako lenyewe linajielezea wewe ni MTU Wa aina gani jinga jinga mwehu fulankwani umetafsiri nini mkuu usitafutie balaa bure la kupigwa ban kwani si nimetangaza kazi yangu kwani hakuna mtaani kwenu vyoo vilivyoziba na kujaa ili vitapishwe
Habari wadau
Napenda kuwataarifu kuwa mimi ni mzibua vyoo mashuhuri na mahiri katika kazi hiyo kwa wanaume na wanawake kama una matatizo ya kuziba choo chako ninao uzoefu na ujuzi na nazibua bila malipo yaani bila maumivu bureee
Natumaini ukipata nafasi ya kufanyiwa kazi yako nami siku zote utanipenda nikuzibulie
Wahi mapema ili umaliziwe haraka
Ushirikiano ndiyo msingi wa hii shughuli
ahsanteni
hayo umesema wewe sio mimi.mimi nazibua vyoo tumarinda
hapana mkuu sio mimi.mimi ni mzibua vyoo tuSamahani lakini, hivi wewe si ni yule jamaa anayepandikizaga camera vyooni na kutengeneza "Bongo Movie" zako? Wewe bwana unatafutwa sana na mapolisi, samahani kwa kukushitua lakini lazima ukamatwe tu, unahaibisha sana jamii na kuvunja ndoa za watu.
mkuu huko wapo wawakilishi wetu watakuja kutatua matatizo yote ya vyoo venumkuu na sisi tuliokua mkoani huduma hiyo tutaipata vipi ya kuzibuliwa vyoo bure
Si kuna jukwaa la matangazo!kwani umetafsiri nini mkuu usitafutie balaa bure la kupigwa ban kwani si nimetangaza kazi yangu kwani hakuna mtaani kwenu vyoo vilivyoziba na kujaa ili vitapishwe
ok. umesomeka je huko kwenu hakuna matatizo ya vyooJina lako lenyewe linajielezea wewe ni MTU Wa aina gani jinga jinga mwehu fulan
Na wewe uko bize kusikiliza utetezi wake!?sasa mbona umesema wanawake kwa wanaume
ungesema nazibua vyoo pekeake isingetosha??