Nazibua vyoo

Nazibua vyoo

dah haya njoo mkuu nikupe tenda hapa jirani kuna baa vyoo vyake vimeziba vya wanaume na wanawake
 
kwani umetafsiri nini mkuu usitafutie balaa bure la kupigwa ban kwani si nimetangaza kazi yangu kwani hakuna mtaani kwenu vyoo vilivyoziba na kujaa ili vitapishwe
Jina lako lenyewe linajielezea wewe ni MTU Wa aina gani jinga jinga mwehu fulan
 
Habari wadau
Napenda kuwataarifu kuwa mimi ni mzibua vyoo mashuhuri na mahiri katika kazi hiyo kwa wanaume na wanawake kama una matatizo ya kuziba choo chako ninao uzoefu na ujuzi na nazibua bila malipo yaani bila maumivu bureee

Natumaini ukipata nafasi ya kufanyiwa kazi yako nami siku zote utanipenda nikuzibulie

Wahi mapema ili umaliziwe haraka
Ushirikiano ndiyo msingi wa hii shughuli

ahsanteni

Samahani lakini, hivi wewe si ni yule jamaa anayepandikizaga camera vyooni na kutengeneza "Bongo Movie" zako? Wewe bwana unatafutwa sana na mapolisi, samahani kwa kukushitua lakini lazima ukamatwe tu, unahaibisha sana jamii na kuvunja ndoa za watu.
 
hapana mkuu sio mimi.mimi ni mzibua vyoo tu
 
Hopeless kabisa ! Acha hiyo tabia .mwogope Mungu ,biblia inasema walevi na wafiraji hawatauona ufalme wa Mungu
 
Back
Top Bottom