Nazichukia sana methali hizi

Nazichukia sana methali hizi

Jabman

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
1,005
Reaction score
1,337
1. Mvumilivu hula mbivu
2.Polepole ndiyo mwendo
3. Haraka haraka haina baraka
4
5....
Natamani iwe kinyume chake.
Nakupenda Tanganyika
 
Kila methali ilitungwa kwa muktadha maalum mfano, Haraka haraka haina baraka=Ngoja ngoja yaumiza matumbo(kila moja ina muktadha wake).
 
1. Mvumilivu hula mbivu
2.Polepole ndiyo mwendo
3. Haraka haraka haina baraka
4
5....
Natamani iwe kinyume chake.
Nakupenda Tanganyika
Ukiishi miaka mingi utagundua ukweli WA semi hizo
 
1. Mvumilivu hula mbivu
2.Polepole ndiyo mwendo
3. Haraka haraka haina baraka
4
5....
Natamani iwe kinyume chake.
Nakupenda Tanganyika
1. Mvumilivu hula Makinikia

2. Pole pole ndio Katibu mwenezi

3. Haraka haraka inaokoa muda
 
Back
Top Bottom