Nazidi kusikitika kwa hawa ccm mnaowapa wazungumze

Nazidi kusikitika kwa hawa ccm mnaowapa wazungumze

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Hivi kama wawe chawa sio mtu.ina maana wawe chawa wa majini na miziumu au au hakuna watu duniani.

Mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Mkinga Twaha Mwakioja, amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani humo kuwa chawa wa CCM kwa kukisemea miradi inayotekelezwa na serikali badala ya kuwa chawa wa mtu.

Mwakioja ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wilaya ya Mkinga lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya hiyo. "Vijana mnatakiwa muwe chawa wa CCM kwa maana mkisemee chama chetu na serikali yetu Rais wetu Daktari Samia Suluhu Hassan ameleta miradi mingi kwenye wilaya yetu, tuna mradi wa maji wa bilioni 35 ambao unatoa maji kutoka Tanga mjini Hadi Horohoro haya ndiyo mambo ambayo tunapaswa kuyasemea kama vijana," amesisitiza Mwakioja.

Aidha jambo lingine alilosisitiza kwa vijana hao ni kuwaasa wasitumike vibaya badala yake wahakikishe wanakuwa sehemu ya kuchagua viongozi ambao wataisaidia Mkinga kupiga hatua na si kuchagua viongozi wanaojali maslahi yao wenyewe.

GRZjqDZWEAAu67b.jpg
 
Hivi kama wawe chawa sio mtu.ina maana wawe chawa wa majini na miziumu au au hakuna watu duniani.

Mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Mkinga Twaha Mwakioja, amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani humo kuwa chawa wa CCM kwa kukisemea miradi inayotekelezwa na serikali badala ya kuwa chawa wa mtu. Mwakioja ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wilaya ya Mkinga lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya hiyo. "Vijana mnatakiwa muwe chawa wa CCM kwa maana mkisemee chama chetu na serikali yetu Rais wetu Daktari Samia Suluhu Hassan ameleta miradi mingi kwenye wilaya yetu, tuna mradi wa maji wa bilioni 35 ambao unatoa maji kutoka Tanga mjini Hadi Horohoro haya ndiyo mambo ambayo tunapaswa kuyasemea kama vijana," amesisitiza Mwakioja. Aidha jambo lingine alilosisitiza kwa vijana hao ni kuwaasa wasitumike vibaya badala yake wahakikishe wanakuwa sehemu ya kuchagua viongozi ambao wataisaidia Mkinga kupiga hatua na si kuchagua viongozi wanaojali maslahi yao wenyewe.
View attachment 3031542
Kwa awamu hizi uchawa umekuwa ni ajira tosha!! Huko mtaani kila siku vinaundwa vikundi vya kina mama ili kusifia na kuna pesa kibao tu!!
 
Back
Top Bottom