Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
au anakula jani letu lileRosta Ndungur mashine kutoka Mbinga hii Ana mtoto wake anapiga Sana mpira Yuko Songea anaitwa Candy kwa sasa sijui kama anachezea timu gani au anaendelea kupiga debe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au anakula jani letu lileRosta Ndungur mashine kutoka Mbinga hii Ana mtoto wake anapiga Sana mpira Yuko Songea anaitwa Candy kwa sasa sijui kama anachezea timu gani au anaendelea kupiga debe
NIKUMBUSHENI JINA LA UTANI LA MECCO
sikumbuki sana hili kama ndilo basi sawaDakika 360
sikumbuki sana hili kama ndilo basi sawa
ama mapafu ya mbwaKwa uwezo wao kucheza muda mrefu bila kuchoka walipewa pamoja mengine jina la dk 360
Alikuwa anaitwa scaniaHuyo Godwin Aswile akikukamia ujue siku hiyo hufurukuti maana alikuwa anahakikisha kuwa wewe hupewi pasi wala yeye haombi mpira hivyo wote hamsikiki siku hiyo.
KWA SASA NI KULI BANDARINIAlikuwa anaitwa scania
Acha utani basi....KWA SASA NI KULI BANDARINI
very serious any way huenda isiwe kwa sasa lakn nimemshihidia wakati fulani hata Rashid Mandanje anashona Viatu pale Masasi stendiAcha utani basi....
Aiss...anyway mpira wa zamani ulikuwa wa ushindani lakini wa ridhaa zaidi...na wachezeji walitosheka na sifa tu...very serious any way huenda isiwe kwa sasa lakn nimemshihidia wakati fulani hata Rashid Mandanje anashona Viatu pale Masasi stendi
huruma sana mkuuAiss...anyway mpira wa zamani ulikuwa wa ushindani lakini wa ridhaa zaidi...na wachezeji walitosheka na sifa tu...