Naziona dalili za Louis Miquissone akitimkia Al Ahly ya Misri

Bora aende kwanza marefa wa Tanzania wameshindwa kumlinda, akikaa haapa anaweza kuwa kilema ile timu ya judo ilimpania kumvunja aende akacheze sehemu ambako mpira unaeleweka
 
Kwani yeye mwenyewe anasemaje? Maana kama yeye mwenyewe kachagua kuondoka Simba basi ni busara akapewa nafasi akaangalie maisha mengine na apewe baraka zote kwanzia washabiki mpaka viongozi.
Simba haijawahi kuzuia mchezaji kuuzwa aisee
 
Wengi hawalifahamu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…