GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 208
- 44
huyo nikki wa pili akaimbe taarabu hawezi kusimama na nikki mbishi kwenye nyimbo moja
Mbona ipo prof jay ft fid q ft langa
TID na Q Chilah walishafanya colabo kadhaa walipokuwa Top Band.. mf. ni nilikataa na chumbani.
Wadau wa music waliokaribu na wasanii hawa washawishini wafanye collabo naamin itakuwa furaha kwangu na kwenu pia
joh makin ft fid q
fid q ft mwana fa
weusi ft tamaduni music
nikki wa pili ft nikki mbishi
prof jay ft kubanda
t.i.d ft dully/q chillal
mkatoliki ft nikki wa pilli
unaweza ongeza zako
NAWASILISHA
Naweza pata huu wimbo wa top band chumbani ? Nautafuta sanaTID na Q Chilah walishafanya colabo kadhaa walipokuwa Top Band.. mf. ni nilikataa na chumbani.