Nazisubiri kwa hamu collabo hizi

Nazisubiri kwa hamu collabo hizi

GABRAISON5

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2013
Posts
208
Reaction score
44
Wadau wa music waliokaribu na wasanii hawa washawishini wafanye collabo naamin itakuwa furaha kwangu na kwenu pia

Joh makin ft fid q

Fid q ft mwana fa

Weusi ft tamaduni music

Nikki wa pili ft nikki mbishi

Prof jay ft kubanda


T.I.D ft dully/q chillal

Mkatoliki ft nikki wa pilli

unaweza ongeza zako
NAWASILISHA
 
huyo nikki wa pili akaimbe taarabu hawezi kusimama na nikki mbishi kwenye nyimbo moja
 
TID na Q Chilah walishafanya colabo kadhaa walipokuwa Top Band.. mf. ni nilikataa na chumbani.
 
Mimi nazitaka hizi
Roma ft joe makini
Ney wa mitego ft afande sele
Mrisho mpoto ft mpoki
 
Wadau wa music waliokaribu na wasanii hawa washawishini wafanye collabo naamin itakuwa furaha kwangu na kwenu pia

joh makin ft fid q

fid q ft mwana fa

weusi ft tamaduni music

nikki wa pili ft nikki mbishi

prof jay ft kubanda


t.i.d ft dully/q chillal

mkatoliki ft nikki wa pilli

unaweza ongeza zako
NAWASILISHA

Fid q ft mwanafa
kuna ngoma yuko F.A ft Fid q na Berry Black prod Lamar
Prof Jay na Fid q wamefanya Ni Hayo pamoja
 
Back
Top Bottom