Hahahaahaaa... sikuwa mtata wala nini... mi mtoto wa sheikh wewe! sema dah, nime-miss ile mbaya michongo ya kuiba pen za watoto wa kishua...!! Unaambiwa mfukoni unakuwa na spear (pen zisizo na wino) kama tatu hivi.. ukimliza mtoto wa kishua, faster unanyonya wino wote na kuhamishia kwenye spear pen kisha huyooooo, unaenda kufukia mzigo kwenye mchanga!!! hapo unaambiwa itapigwa search kila kona... daftari litanyanyuliwa na kupepewa juu juu hivi eti ili lidondoshe pen; lakini wapi.... subiri kuokota bomba tupu tu, madini yote yashapelekwa pwani!!! dah, maisha mengine bhana... hata kununua pen shughuli!!!!we ulikua mtata skonga afu dizaini km mtu wa swaga swaga hv
hapo mbichwa huoooo km tenga full kujidai