Nazizi afanya maajabu, ajikondesha na kuwa mrembo wa haja ukimuona hutoamini

Nazizi afanya maajabu, ajikondesha na kuwa mrembo wa haja ukimuona hutoamini

we ulikua mtata skonga afu dizaini km mtu wa swaga swaga hv
hapo mbichwa huoooo km tenga full kujidai
Hahahaahaaa... sikuwa mtata wala nini... mi mtoto wa sheikh wewe! sema dah, nime-miss ile mbaya michongo ya kuiba pen za watoto wa kishua...!! Unaambiwa mfukoni unakuwa na spear (pen zisizo na wino) kama tatu hivi.. ukimliza mtoto wa kishua, faster unanyonya wino wote na kuhamishia kwenye spear pen kisha huyooooo, unaenda kufukia mzigo kwenye mchanga!!! hapo unaambiwa itapigwa search kila kona... daftari litanyanyuliwa na kupepewa juu juu hivi eti ili lidondoshe pen; lakini wapi.... subiri kuokota bomba tupu tu, madini yote yashapelekwa pwani!!! dah, maisha mengine bhana... hata kununua pen shughuli!!!!
 
Weeeeeeeeewww kapendeza kwakweli.
Wale mabonge nyanya mkithubutu mnaweza kufanikiwa!
 
asee vundesi yote kaitoa duu kawa mzuri sana unene wa kupitiliza maranyingi huleta ugonjwa
 
Huyo mvuta bangi ukute ana ngoma vile vile anazuga na jim tu hapo..mi wavuta bangi huwa siwaamini
 
Isije kuwa kafanya opereshen ya kupunguza unene
halafu anawadanganya watu ni diet na mazoezi
 
naona ray naye kaamua,huko insta kila siku anarusha video za mazoezi na anajiumiza kweli mpaka jasho
 
Kuna wanawake jamani wazuri mpaka unaweza jikuta mwanaume unasahau misimamo yako aseee....
Naziz naomba walau kollabo ya jimu tuuuu???
 
Isije kuwa kafanya opereshen ya kupunguza unene
halafu anawadanganya watu ni diet na mazoezi

Kwani mtu akifanya zoezi na uziwa unapungua mkuu..make naona na kifua kimekua kidogo hii operation bila shaka.
 
Back
Top Bottom