Nazungushwa mahakamani kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic nifanye nini?

Nazungushwa mahakamani kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic nifanye nini?

Acha kutukana watu ambao hauwajui utapata matatizo
Nyie wapenda takrima hamna tofauti na wapenda rushwa wote tunawaweka kapu moja la watu wenye tamaa! Sasa kitu kinatolewa bure na serekali, wwe unataka upewe takrima ndiyo utowe! Wwe mafuta ya p Diddy yanakuhusu,la sivyo achaa tamaa! Alafu kawaida ya takrima hutoka baada ya kazi na si kabla ya kazi!!
 
Mkuu vumilia,nakala ya hukumu ni ndani ya siku 90 baada ya kusomewa hukumu ukipata chini ya hapo ni fadhila tu za watumishi wa Mahakama,na hizi taarifa nimezipata kwenye kipindi cha ITV sema na Mahakama, kuna mtu aliiuliza swali la muda wa nakala ya hukumu!!!
Jamani hata kesi ya traffic?? Kesi ndogo tu hiyo
 
Back
Top Bottom