Cavs and Warriors sweeping teams.. Simply they own the league..
Sasa kuna umuhimu wa both franchise watengeneze another competitive super team maana kama hali itaendelea hivi basi walau mpaka 2020 finals zitakuwa Cavs vs Warriors..
Sitashangaa pia kama kila mmoja ata sweep kwenye conference finals..Imekuwa kama ligi ya Spain, R Madrid vs Barcelona.
A two race horse.
Hata playoffs zenyewe hazivutii kivile.
Sitashangaa pia kama kila mmoja ata sweep kwenye conference finals..
Nafikiri atakayepambana na GSW kwenye WCF, akishinda game 1 au 2, GSW ata-paniki. Na kwa vile imejaa record-holding chokers, inaweza kula kwao. Sijui how resilient GSW wapo. Bado hawaja-prove kuwa resilient at the top level.Kwa East ni rahisi zaidi kum-sweep Celtics zaidi ya Wizards.
Kwa West nadhani Spurs anaweza kupata game hata moja au 2.
Nafikiri atakayepambana na GSW kwenye WCF, akishinda game 1 au 2, GSW ata-paniki. Na kwa vile imejaa record-holding chokers, inaweza kula kwao. Sijui how resilient GSW wapo. Bado hawaja-prove kuwa resilient at the top level.
Ila ngoja tuone. Ila ningependa Cavs ikutane na Spurs ili kumaliza ubishi wa kwamba Kahwi anamfichaga Lebron.
Kwa sasa KD anawaokoa sana maana Curry na Klay wanaflop sana kwenye playoffs, so KD, Iggy na Green wanacover kwa kiasi kikubwa.
Ngoja tuone itakuwaje, ila jamaa wako powa sana, hasa hasa baada ya kumwongeza KD, make kukuta game moja wote Klay, KD na Curry kuwa off ni ngumu.
What a game!
Je, Spurs anaweza kukaza game 6 amalize hii series!? Au Rockets watarudi game 6 na ku-force game 7!?
Kahwi kaumia ankle sijui to what extent hata kwenye OT hakuwepo. Bila ya yeye kuwepo game six na seven zitawawia vigumu sana Spurs kushinda.
Yap! Game six itakuwa Houston na kama Houston, Texas watashinda game 7 itakuwa San Antonio, Texas.
You know what? I can see the Rockets winning game 6. This series will definitely go down to the last game.
Close out games kama hizi zinahitaji uzoefu! Hilo ndilo linampa Bron an edge over others! Zinapofikia games kama hizo, chokers ndiyo uzaliwa! Kama ilivyotokea kwa Rockets.Jamaa wamechemsha sana leo, sijui ndiyo kuchoka au lack of experience! Duh! Mchezo uliisha quarter ya kwanza.
It's really disappointing but I believe Spurs is the right match up for the warriors.everybody had high expectations from the rockets... very disappointing!