NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Cavs and Warriors sweeping teams.. Simply they own the league..

Sasa kuna umuhimu wa both franchise watengeneze another competitive super team maana kama hali itaendelea hivi basi walau mpaka 2020 finals zitakuwa Cavs vs Warriors..

Imekuwa kama ligi ya Spain, R Madrid vs Barcelona.

A two race horse.

Hata playoffs zenyewe hazivutii kivile.
 
Kwa East ni rahisi zaidi kum-sweep Celtics zaidi ya Wizards.

Kwa West nadhani Spurs anaweza kupata game hata moja au 2.
Nafikiri atakayepambana na GSW kwenye WCF, akishinda game 1 au 2, GSW ata-paniki. Na kwa vile imejaa record-holding chokers, inaweza kula kwao. Sijui how resilient GSW wapo. Bado hawaja-prove kuwa resilient at the top level.

Ila ngoja tuone. Ila ningependa Cavs ikutane na Spurs ili kumaliza ubishi wa kwamba Kahwi anamfichaga Lebron.
 
Kwa sasa KD anawaokoa sana maana Curry na Klay wanaflop sana kwenye playoffs, so KD, Iggy na Green wanacover kwa kiasi kikubwa.

Ngoja tuone itakuwaje, ila jamaa wako powa sana, hasa hasa baada ya kumwongeza KD, make kukuta game moja wote Klay, KD na Curry kuwa off ni ngumu.
 
Mimi huwa nasemaga Ile team watu tishio pale wa kuisumbua CAVS ni wawili tu Durant na Green, hao wengine wote waliobaki sijui Iguodala, Pachulia na splash brothers ni wachumba tu. Mwaka Jana Klay aliwasaidia sana kwenye playoff hasa walipokutana na OKC lakini angalia msimu huu alivyo flop kwenye playoff tena utawaona makali yao pale timu inapokuwa ina perform..

Ukitaka kuona kuwa msimu huu hawana consistency nzuri angalia timu ikishikwa kama ilivyokuwa juzi utamuona KD tu ndio anaparangana... Alafu wanajua sana kupaniki pale mambo yanapokuwa ndivyo sivyo.
 
Very tight game between Rockets and Spurs.
 
Kahwi kaumia ankle sijui to what extent hata kwenye OT hakuwepo. Bila ya yeye kuwepo game six na seven zitawawia vigumu sana Spurs kushinda.

Je, Spurs anaweza kukaza game 6 amalize hii series!? Au Rockets watarudi game 6 na ku-force game 7!?
 
Na hizi playoffs games zilivyokaribu karibu sijui! Game 6 wanarudi nyumbani kwa Rockets kama sijakosea. Game itakuwa ngumu sana.

Kahwi kaumia ankle sijui to what extent hata kwenye OT hakuwepo. Bila ya yeye kuwepo game six na seven zitawawia vigumu sana Spurs kushinda.
 
Yap! Game six itakuwa Houston na kama Houston, Texas watashinda game 7 itakuwa San Antonio, Texas.

Na hizi playoffs games zilivyokaribu karibu sijui! Game 6 wanarudi nyumbani kwa Rockets kama sijakosea. Game itakuwa ngumu sana.
 
You know what? I can see the Rockets winning game 6. This series will definitely go down to the last game.

Yap! Game six itakuwa Houston na kama Houston, Texas watashinda game 7 itakuwa San Antonio, Texas.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I was wrong rockets wamepigwa. Nafurahi Warriors na Spurs itakuwa series yenye ushindani sana.

You know what? I can see the Rockets winning game 6. This series will definitely go down to the last game.
 
Jamaa wamechemsha sana leo, sijui ndiyo kuchoka au lack of experience! Duh! Mchezo uliisha quarter ya kwanza.
Close out games kama hizi zinahitaji uzoefu! Hilo ndilo linampa Bron an edge over others! Zinapofikia games kama hizo, chokers ndiyo uzaliwa! Kama ilivyotokea kwa Rockets.
 
Back
Top Bottom