NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

a65d36f6e86c6e9485e8e49d464d49b3.jpg

NBA First Team: @jharden13 (unanimous), kingjames (11th selection, tied for most), @russwest44, @antdavis23 & Kawhi Leonard!
 
wapo second team [emoji23] [emoji23]
ef7c1cdfbec7a556fe934c93a86d50db.jpg

Ningeshangaa sana kina Mag3 wasingelalamika juu ya hii selection,

Green's comment on Klay T not being in NBA All Team
"It's some guys on there as scorers averaging 20 points, and don't have as near amount of wins that we have,' he said. "So, how can [Klay] be left out? I don't really understand it. Also, the way Klay can defend, I don't really understand it. But, I guess they have to find some way to punish us."
 
Ningeshangaa sana kina Mag3 wasingelalamika juu ya hii selection,
Wapi nimelalamika? Hivi kule kulalama kwako eti GSW imejaa mastaa...sasa hao mastaa wako wapi? Mbona hakuna hata moja timu A? Mimi nafurahi hawajamchukua hata moja. Sisi nguvu yetu iko katika umoja wetu...[HASHTAG]#strengthInNumbers[/HASHTAG].
 
Mkuu waliolalamika ni Green na Curry, wewe nimekutumia kama kiwakilishi cha timu kwa ujumla, wakilalamika wao na wewe umelalamika.
 
hivi ni kweli KAWHI LEONARD ASIPOCHEZA Spurs huwa wanawaka...??[emoji3] [emoji3]
 
"A byrd in hand - is worth ten flye at large."

Sasa huyo LeBron sina hakika nitakutana naye vipi kama si ndotoni tu...yaani mtoto anayetembea na kukimbia anatishiwa kukutana na ambaye hata kuzaliwa bado, mbona vituko?

Ha ha ha, LeBron is your nightmare, iwe ndotoni, iwe kwenye ukweli atakukuta tu. Hope bado ndege wako umewashikilia mkuu.
 
[HASHTAG]#Monstars[/HASHTAG]
[HASHTAG]#AllForOne[/HASHTAG]
[HASHTAG]#DefendTheLand[/HASHTAG]
 
Nadhani Wizards labda wangetoa ushindani zaidi. Leo ndiyo unaona disadvantage ya ufupi wa IT.
Kabisa mkuu, hata mimi naona labda Wizards wangefanya series ikawa nzuri, yaani hawa celtic naona karibu wote wameshakubali isipokuwa I.Thomas tu ambae nae naona anaelekea kuchoka kama wenzake.

Serious this is the most disgusting eastern conference finals ever recently.

Mimi nilitegemea hawa jamaa watarudi game ya pili kumbe ovyo kabisa.
 
[HASHTAG]#WitnessingGreatness[/HASHTAG]
 
Very boring game.

Back
Top Bottom