wapo second team [emoji23] [emoji23]Imechakachuliwa hii, haiwezekani hakuna hata mmoja kutoka timu pendwa...!
wapo second team [emoji23] [emoji23]
Wapi nimelalamika? Hivi kule kulalama kwako eti GSW imejaa mastaa...sasa hao mastaa wako wapi? Mbona hakuna hata moja timu A? Mimi nafurahi hawajamchukua hata moja. Sisi nguvu yetu iko katika umoja wetu...[HASHTAG]#strengthInNumbers[/HASHTAG].Ningeshangaa sana kina Mag3 wasingelalamika juu ya hii selection,
Wapi nimelalamika? Hivi kule kulalama kwako eti GSW imejaa mastaa...sasa hao mastaa wako wapi? Mbona hakuna hata moja timu A? Mimi nafurahi hawajamchukua hata moja. Sisi nguvu yetu iko katika umoja wetu...[HASHTAG]#strengthInNumbers[/HASHTAG].
hivi ni kweli KAWHI LEONARD ASIPOCHEZA Spurs huwa wanawaka...??[emoji3] [emoji3]Mkuu waliolalamika ni Green na Curry, wewe nimekutumia kama kiwakilishi cha timu kwa ujumla, wakilalamika wao na wewe umelalamika.
Boston is not in the same league as CAVS, another sweep is around the corner. Possibility of CAVS to REPEAT is huge.
"A byrd in hand - is worth ten flye at large."
Sasa huyo LeBron sina hakika nitakutana naye vipi kama si ndotoni tu...yaani mtoto anayetembea na kukimbia anatishiwa kukutana na ambaye hata kuzaliwa bado, mbona vituko?
Kabisa mkuu, hata mimi naona labda Wizards wangefanya series ikawa nzuri, yaani hawa celtic naona karibu wote wameshakubali isipokuwa I.Thomas tu ambae nae naona anaelekea kuchoka kama wenzake.Nadhani Wizards labda wangetoa ushindani zaidi. Leo ndiyo unaona disadvantage ya ufupi wa IT.
[HASHTAG]#WitnessingGreatness[/HASHTAG]Kabisa mkuu, hata mimi naona labda Wizards wangefanya series ikawa nzuri, yaani hawa celtic naona karibu wote wameshakubali isipokuwa I.Thomas tu ambae nae naona anaelekea kuchoka kama wenzake.
Serious this is the most disgusting eastern conference finals ever recently.
Mimi nilitegemea hawa jamaa watarudi game ya pili kumbe ovyo kabisa.
Kabisa mkuu, hata mimi naona labda Wizards wangefanya series ikawa nzuri, yaani hawa celtic naona karibu wote wameshakubali isipokuwa I.Thomas tu ambae nae naona anaelekea kuchoka kama wenzake.
Serious this is the most disgusting eastern conference finals ever recently.
Mimi nilitegemea hawa jamaa watarudi game ya pili kumbe ovyo kabisa.