Mmmmh! No comment, mjisomee tu wenyewe...Nasita sana kuamini hii kitu!
ESPN NEWS
Who? Who is my nightmare? You've got to be kidding 😀!Wazee wa Fake News tutakoma mwaka huu, yaani mnatamani asubuhi ifike taarifa ziwe za LBJ kafungiwa au LBJ kaumia ili msikutane naye Finals. He is your nightmare.
Ha ha haa...kama umenisoma vizuri nimesema hata mimi nasita kuamini!Mkuu ukitaka kujua kwamba hiyo siyo ESPN na ni fake news jaribu kuclick mahali popote kwenye hiyo link, by the way report inasema LBJ yuko under probation, na wewe umeamini?
Safi sana, aendelee hivyo hivyo...hatutaki kisingizio chochote!KL anatungua tatu tatu kama hajielewi vile.
Who? Who is my nightmare? You've got to be kidding 😀!
Ha ha haa...kama umenisoma vizuri nimesema hata mimi nasita kuamini!
Safi sana, aendelee hivyo hivyo...hatutaki kisingizio chochote!
Mimi nakuhakikishia mapema kabisa kwamba mkitufunga nitakubali na sitakuwa na kinyongo...sana sana nitawapongeza.Mmeshaanza visingizio mara vya madawa ya kuongeza misuli, mara anawahonga marefa, anampigia simu Adam Silver kuomba upendeleo!
Mimi nakuhakikishia mapema kabisa kwamba mkitufunga nitakubali na sitakuwa na kinyongo...sana sana nitawapongeza.
Tie game...95-95...with 5:33 to go in the 4th...
CAVS nadhani wali get comfortable mno....maana walikuwa wanaongoza kwa margin kubwa going into the 3rd qt...
Leo jamaa wamejua kumkaba LBJ, yuko 4 of 12.
Wanaanza kujiamini bila IT...nadhani walikuwa wanamtegemea mno wakisahau kumbe hata bila yeye wanaweza!Leo jamaa wamejua kumkaba LBJ, yuko 4 of 12.
Wanaanza kujiamini bila IT...nadhani walikuwa wanamtegemea mno wakisahau kumbe hata bila yeye wanaweza!
Hahahaaa 102-101...Cs