NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Mmmmh! No comment, mjisomee tu wenyewe...Nasita sana kuamini hii kitu!
ESPN NEWS

Wazee wa Fake News tutakoma mwaka huu, yaani mnatamani asubuhi ifike taarifa ziwe za LBJ kafungiwa au LBJ kaumia ili msikutane naye Finals.

He is your nightmare.
 
Mmmmh! No comment, mjisomee tu wenyewe...Nasita sana kuamini hii kitu!
ESPN NEWS

Mkuu ukitaka kujua kwamba hiyo siyo ESPN na ni fake news jaribu kuclick mahali popote kwenye hiyo link, by the way report inasema LBJ yuko under probation, na wewe umeamini?
 
Wazee wa Fake News tutakoma mwaka huu, yaani mnatamani asubuhi ifike taarifa ziwe za LBJ kafungiwa au LBJ kaumia ili msikutane naye Finals. He is your nightmare.
Who? Who is my nightmare? You've got to be kidding 😀!
Mkuu ukitaka kujua kwamba hiyo siyo ESPN na ni fake news jaribu kuclick mahali popote kwenye hiyo link, by the way report inasema LBJ yuko under probation, na wewe umeamini?
Ha ha haa...kama umenisoma vizuri nimesema hata mimi nasita kuamini!
KL anatungua tatu tatu kama hajielewi vile.
Safi sana, aendelee hivyo hivyo...hatutaki kisingizio chochote!
 
Who? Who is my nightmare? You've got to be kidding 😀!

Ha ha haa...kama umenisoma vizuri nimesema hata mimi nasita kuamini!

Safi sana, aendelee hivyo hivyo...hatutaki kisingizio chochote!

Mmeshaanza visingizio mara vya madawa ya kuongeza misuli, mara anawahonga marefa, anampigia simu Adam Silver kuomba upendeleo!
 
Ohooo...mambo yamekuwa mambo!

Naona CAVS waliondoa mguu kwenye akselereta....

Cs wanaweza wakashinda hii game aisee...
 
Tie game...95-95...with 5:33 to go in the 4th...

CAVS nadhani wali get comfortable mno....maana walikuwa wanaongoza kwa margin kubwa going into the 3rd qt...
 
Mambo yamekuwa mambo...hawa Celtics walikuwa wapi siku zote? Leo hata wakifungwa wamejitahidi.
 
Mkuu Mag3 mimi naamini hii ni FAKE NEWS ingekuwa ni kweli basi ingekuwa all over the place as BREAKING NEWS.

Mmmmh! No comment, mjisomee tu wenyewe...Nasita sana kuamini hii kitu!
ESPN NEWS
 
Suddenly game imenoga...😀😀

Mwanzoni nilikuwa nachungulia chungulia tu lakini sasa naitazama kabisa...
 
Wanaanza kujiamini bila IT...nadhani walikuwa wanamtegemea mno wakisahau kumbe hata bila yeye wanaweza!

Wakishinda hii game watajiamini sana.

Italeta mvuto kidogo aisee.
 
Hahaaa...nimeona mashabiki wa CAVS hapo kwa arena wameshika tama utadhani ni elimination game....

Nadhani ni ule mshtuko tu wa kupoteza lead walokuwa nayo na uwezekano wa timu yao kupoteza hii mechi...
 
Back
Top Bottom