NBA 2016/2017 Season Special Thread

Hizi sec 31 zilizobaki Cavs watazimaliza vizuri na kushinda game.
 
Ha ha ha, jamaa wabishi!

Nahisi IT4 alikuwa ni liability kwenye defense.
 
LBJ amecheza dakika zaidi ya 40...
Hawa Cavs watamuua mzee wa watu (jus kiddin)...
Ila nafikiri hii kitu si nzuri sana, inaweza kumfanya huyu mzee akapata majeraha yasiyotarajiwa...
Tunahitaji NBA finals ambazo hazitakuwa na excuses za kiduwanzi..!
 
[HASHTAG]#defendtheland[/HASHTAG]
"You've witnessed history...no NBA playoff team EVER has enjoyed a 41 point lead at the half.."
"That's eight straight 30+ point playoff games for @KingJames."
This is ridiculous! The Cs are going to get swept!
Serious this is the most disgusting eastern conference finals ever recently. Mimi nilitegemea hawa jamaa watarudi game ya pili kumbe ovyo kabisa.
This is like watching the Dream Team play Angola in the 1992 Olympics. [HASHTAG]#CavsCeltics[/HASHTAG] [HASHTAG]#cavs[/HASHTAG] [HASHTAG]#LeBronJames[/HASHTAG] [HASHTAG]#nbaplayoffs[/HASHTAG]
Take my word, never ever count your chicks before they are hatched...the GSW did learn this hard lesson last year!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…