NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

[B]Nzi[/B], [B]Raimundo[/B], [B]Lizarazu[/B], [B]Uliza Nkujibu[/B], [B]runna[/B] na wapenzi wote wa CAVs...jamani hata kutupa hongera! Hata hivyo tunawaombea msijikwae kwenye hicho kisiki tuweze kukutana fainali, tunawasubiri kwa hamu kweli kweli ila kwanza lazima mking'oe hicho kisiki kisije kikawaumbua mchana kweupeee! Visiki bwana, vina maudhi!
Wewe mzee yaani upo kama Bashite na Magufuli. Unapenda kusifiwa balaa!

GSW had cakewalks....winning against undermanned teams...this taints the 12-0 wins! This is just my opinion.
 
Mkuu, from sportsmanlike point of view GSW deserved it, I congratulate you all GSW fans for that you have been great throughout the season compared to other western teams.Your team made a history that was obviously expected(12-0).

Kuhusu fainali yenyewe hapana shaka kabisa lazima mje Quicken P.Arena na wala sio TD Garden. Hawa Celtics ni kama vile wanatuongezea umakini japo naona kwa jinsi wanavyotuchelewesha itatu cost. Kwa sababu sasa GSW mna muda mwingi wa kupunzika na kuandaa mbinu za ushindi, tofauti na CAVS ambae nahisi sidhani kama atapata hata siku nne za maandalizi.
 
Wewe mzee yaani upo kama Bashite na Magufuli. Unapenda kusifiwa balaa!
Niliwapongeza CAVS walipoweka rekodi yao hivi majuzi...mimi ni mwana michezo through and through ndugu yangu.
GSW had cakewalks....winning against undermanned teams...this taints the 12-0 wins! This is just my opinion.
Je 67-15? Ninavyojua timu tatu zilizoshika nafasi za juu kabisa kwenye regular zilitoka West! Jitahidini leo mvuke, mkifanikiwa hiyo nitakuwa wa kwanza kuwapongezeni.
 
Pamoja na kuwa home court advantage bado CAVS wana nafasi kubwa ya kushinda kama King James kama ataweza kuperform katika level ya michezo 10 ya kwanza katika hizi playoffs na pia supporting cast to do the same.

Niliwapongeza CAVS walipoweka rekodi yao hivi majuzi...mimi ni mwana michezo through and through ndugu yangu.

Je 67-15? Ninavyojua timu tatu zilizoshika nafasi za juu kabisa kwenye regular zilitoka West! Jitahidini leo mvuke, mkifanikiwa hiyo nitakuwa wa kwanza kuwapongezeni.
 
Pamoja na kuwa home court advantage bado CAVS wana nafasi kubwa ya kushinda kama King James kama ataweza kuperform katika level ya michezo 10 ya kwanza katika hizi playoffs na pia supporting cast to do the same.
Mkuu BAK, Celtics wakicheza kama juzi tena away from home, CAVs wanaweza kuwa na wakati mgumu sana. Kwanza huo mchezo umewapa confidence ambayo hawakuwa nayo hasa baada ya IT kutokuwepo. Pili, wako kwenye momentum, it is like a body in motion...ni sawa na kujaribu kulisimamisha truck la tani 12 likiwa kwenye mwendo mkali. Tatu wameweza kuwatia hofu CAVS na kwa kuwasimamisha itabidi CAVS wabadilisha mchezo na nne, they have less to lose compared to their opponents na kwa maana hiyo hawatacheza kwa wasi wasi kama wenzao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Na Cavs wakicheza kama walivyoshinda kwa vikapu 44?
 
Hivi juzi kwani wamechezaje? Unakumbuka katika robo za awali KL alipokuwa akitungua tatu tatu hadi mashabiki mkatabiri clean sweep? Celtics wakajipiga moyo konde na kujiuliza, what have we to lose...let's play our hearts out, and the rest is history!
The game will be one of the best in these playoffs.

Better than the last one these two played? I doubt it.
 
Hivi juzi kwani wamechezaje? Unakumbuka katika robo za awali KL alipokuwa akitungua tatu tatu hadi mashabiki mkatabiri clean sweep? Celtics wakajipiga moyo konde na kujiuliza, what have we to lose...let's play our hearts out, and the rest is history!

Better than the last one these two played? I doubt it.
Stop being too salty mzee...
 
Nzi said:
Stop being too salty mzee...
Halftime...Celtics 57, Cavs 47....Quicken Loans Arena kimya! Kaaaazi kweli kweli...!
 
Naona sasa ni makelele ya NBA is rigged from the Cavaliers fans.. Kisa tu Lebron ana 4 fouls kwenye kota ya 2..

Ila Celtics wamefanya uzembe mkubwa kutoextend lead, lakini pia Bron Bron akirudi on 3rd anaweza akawa kwenye panic mode kitu ambacho si kizuri kwa Cavs..
 
Naona sasa ni makelele ya NBA is rigged from the Cavaliers fans.. Kisa tu Lebron ana 4 fouls kwenye kota ya 2..
Kwani naye Raimundo anasemaje? Naona kuna timu star player akikosekana, timu inapata motisha na kuperform vizuri zaidi...ha ha haa!
 
Hata hivyo yule andunje alikuwa liability sana kwenye defense.. Hii Celtics ya sasa naona kabisa inacheza tight defense na Cavs wakifanya mchezo watatushangaza mengi..

Au labda wanafanya makusudi wasipate muda mwingi wa kupumzika ili waingie kwenye finals damu zikiwa za moto bado..
 
Wapenzi wa CAVs rudini upepo umegeuka, acheni mambo ya kujifichajificha. Yaani nyie watu wa ajabu kabisa, mnachungulia kwa mbali tu mnapofungwa lakini ngoja mfunge, mtavamia jamvi kama siafu...ha ha haa!

Nzi, Raimundo tokeni mafichoni, mambo si mabaya tena.

Update: Cavs 112, Celtics 99...hongereni kwa ushindi, bado game moja!
 
Back
Top Bottom