Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
[B]Nzi[/B], [B]Raimundo[/B], [B]Lizarazu[/B], [B]Uliza Nkujibu[/B], [B]runna[/B] na wapenzi wote wa CAVs...jamani hata kutupa hongera! Hata hivyo tunawaombea msijikwae kwenye hicho kisiki tuweze kukutana fainali, tunawasubiri kwa hamu kweli kweli ila kwanza lazima mking'oe hicho kisiki kisije kikawaumbua mchana kweupeee! Visiki bwana, vina maudhi!