NBA 2016/2017 Season Special Thread

Nzi, Raimundo tokeni mafichoni, mambo si mabaya tena!
Kwa kuwa hiyo ni tabia yako basi unafikiri kila mtu anayo!! Leo sikuwa na mzuka wa kuangalia game huku nikichangia mada humu. Niliamua kuangalia game vizuri, kwani ilikuwa ni decisive kwa Cavs.

Sina haja ya kujificha, kwani najua huu ni mchezo; kuna kufungwa ama kushinda.
 
Mag3 unapenda sana attention, unakuwa kama mwanamke akivaa asiambiwe umependeza ananuna.

Anyway hongereni kwa kufunga wagomjwa.

Watu wazima wanakuja Finals.
 

Hongera nyingi ziwafikie wapenzi wote wa CAVs popote walipo kwa kuking'oa hicho kisiki na kufikia fainali ya NBA 2017. Naomba tu niwape taarifa kwamba GSW wanawasubiri kwa hamu kubwa na karibuni sana Oracle Arena tarehe 1/6/2017!
 

Spurs are exploring Possibility of Signing Free Agent CP3...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…