Nawajua wanaoumizwa na uchokozi wangu ila nawaomba tu mnichukulie poa, nivumilieni sina nia mbaya. Msiwe kama watu wanaohudhuria comedy show halafu wananuna utani unapoelekezwa kwao.
tik...tak...tik...tak...tik...tak...tik...tak...game ya kwanza itakuwa ni indiketa nzuri ya ubingwa utakapotua!
Ngoma ngumu hii...ngoja tuona games mbili za mwanzo...if Cavs steal a game, then we will have an epic battle...and may be this time Cavs will blow a 3-1 lead! Or Cavs in 5! It would be good if Cavs take in 5, at GSW's home court!
Ila I don't see this going to game 7 again...both teams are healthy and lethal..
Mwaka jana tena! Kwa ufahamisho tu huu ni mwaka 2017, hayo ya mwaka jana tumeshasahau.Mkuu mwaka jana mlishinda game zote 2 za kwanza kama unakumbuka, lakini haikutosha kuwapa ubingwa.
Nawajua wanaoumizwa na uchokozi wangu ila nawaomba tu mnichukulie poa, nivumilieni sina nia mbaya. Msiwe kama watu wanaohudhuria comedy show halafu wananuna utani unapoelekezwa kwao.
tik...tak...tik...tak...tik...tak...tik...tak...game ya kwanza itakuwa ni indiketa nzuri ya ubingwa utakapotua!
Why may I ask?...ila kama Cavs waki-split the first two games (ie win at least one of the first two) GSW will be in trouble.
Why may I ask?
Bado siku tatu tu ile Golden state ibadilike na kuwa bronze state.
[HASHTAG]#defendtheland[/HASHTAG]
[HASHTAG]#striveforgreatness[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Cavsnation[/HASHTAG]
Hivi nyie ambao ni reigning champions mmeongeza wangapi mpaka sasa? Kunya anye kuku...Mimi sina wasiwasi na GSWs, hata wakitangulia 2 - 0, tunakinukisha tu.
Itabidi mmchukue CP3 kuja kuongezea nguvu kwa ajili ya mwaka kesho tena.
Spliting the first couple of games will put too much pressure on GSW, so far evidence iliyopo ni kwamba, when you need buckets, when each bucket counts on biggest stage, KD's & Curry's butt cheeks start getting sweaty, they have never proven that they can deliver when it matters the most, We all know Kyrie is a bad man when each bucket counts, he shows up big, ditto LBJ.Why may I ask?
Shame what happened to Tiger, he inspired me to start playing golf, everything started going south for him once his dad died. So what's Skip saying? he's like the world's # 1 LeBron hater.Stephen A is about to make his pick!
Since 2011 he is 0-6!
I'm watching First Take...whoever he picks is doomed😀.
Max Kellerman picks the Warriors...in 6!
Stephen A has GSW in 7!
Molly Qerim has the Warriors in 5!
Hahahaaa so we shall see...
Now let me head over to FS1's Undisputed and see who Skip and Shannon and Joy are picking...if they haven't already made their picks.
And btw, Tiger Woods was arrested for DUI last night....
Mapenzi yanapofusha...ukipenda chongo utaita kengeza! Kwa ukumbusho tu mchezo wanaocheza Warriors ni tofauti kabisa na ule wanaoucheza Cavaliers. Cavs rely more on physical strength and I hope it works against team that relies on finesse!Spliting the first couple of games will put too much pressure on GSW, so far evidence iliyopo ni kwamba, when you need buckets, when each bucket counts on biggest stage, KD's & Curry's butt cheeks start getting sweaty, they have never proven that they can deliver when it matters the most, We all know Kyrie is a bad man when each bucket counts, he shows up big, ditto LBJ.
Ebu acha fiksi mzee....NBA kama timu haina physical strength itafanya vipi defence? Physical strength is part of what makes great teams....lazima uwe nayo.Mapenzi yanapofusha...ukipenda chongo utaita kengeza! Kwa ukumbusho tu mchezo wanaocheza Warriors ni tofauti kabisa na ule wanaoucheza Cavaliers. Cavs rely more on physical strength and I hope it works against team that relies on finesse!
Your point is? See what you quoted and try to stay within that context.Mapenzi yanapofusha...ukipenda chongo utaita kengeza! Kwa ukumbusho tu mchezo wanaocheza Warriors ni tofauti kabisa na ule wanaoucheza Cavaliers. Cavs rely more on physical strength and I hope it works against team that relies on finesse!
Kama mshindani mwenye kupenda fairness, hii inakuwa kwa kweli lakini unawaacha watu na mawazo yao.Naona watu kibao kwenye social medias including pundits wana i-underestimate CAVS kuelkea series ya fainali.. Wengine mpaka wanathubutu kusema wanasubiri kuona sweep!!
Inachekesha na pia inakera sana.
Ngoja tusubiri less than 60hrs left.
Kama mshindani mwenye kupenda fairness, hii inakuwa kwa kweli lakini unawaacha watu na mawazo yao.
I never underestimate my foes, never. So I do not do mistake of underestimating Cavs, nah... Nor will I tell you to underestimate Warriors.
I like the grown-up way you look at stuff, this is maturity and is one trait of true sportsmanship...big up King Shaat! The rest of us are just hot-headed bigots led by our ovewhelming devotion to individuals and/or teams with less regard to proven stats. Nevertheless some comments just leave me perplexed, confused and astounded!Kama mshindani mwenye kupenda fairness, hii inakuwa kwa kweli lakini unawaacha watu na mawazo yao. I never underestimate my foes, never. So I do not do mistake of underestimating Cavs, nah... Nor will I tell you to underestimate Warriors.