Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Nawajua wanaoumizwa na uchokozi wangu ila nawaomba tu mnichukulie poa, nivumilieni sina nia mbaya. Msiwe kama watu wanaohudhuria comedy show halafu wananuna utani unapoelekezwa kwao.
tik...tak...tik...tak...tik...tak...tik...tak...game ya kwanza itakuwa ni indiketa nzuri ya ubingwa utakapotua!
Mkuu mwaka jana mlishinda game zote 2 za kwanza kama unakumbuka, lakini haikutosha kuwapa ubingwa.
Kwenye playoff huwa siiamini game ya kwanza kabisa.