Kumbukeni tu kwamba GSW ugenini ni more lethal kuliko nyumbani...hii ni tahadhari tu.Team Cavs, tushalala moja hapa.
Tunajipanga kuja upya game 2.
Kumbukeni tu kwamba GSW ugenini ni more lethal kuliko nyumbani...hii ni tahadhari tu.
His mates trying to get him going lakini ndio hivyo.. Ila mwenyewe alisema as long as timu inashinda his rust isn't an issue to him. Klay can catch fire at any moment, sidhani kama atamaliza hizi postseason hivi..Lini sasa!? Maanake tangu kwenye WCF kiwango chake ni kile kile tu yaani kachoka japo bado anajitutumua kwenye defense... General performance ya timu inafunika hilo!
Hongereni kwa ushindi.
Against Cavs ni mara ya pili na ni 1-1.. Ila msifikiri mtapata mteremko kama mlioupataga enzi hizo..Siyo mara ya kwanza ninyi kushinda game 1.
Against Cavs ni mara ya pili na ni 1-1.. Ila msifikiri mtapata mteremko kama mlioupataga enzi hizo..
CAVs wasali sana mzuka wa Klay Thompson ubaki hapo hapo usingizini na wasijaribu kuuamsha...ukiamka ndoto zao zitazimika mithili ya mshumaa ulionyeshewa mvua.His mates trying to get him going lakini ndio hivyo.. Ila mwenyewe alisema as long as timu inashinda his rust isn't an issue to him. Klay can catch fire at any moment, sidhani kama atamaliza hizi postseason hivi..
Ubaya ni kwamba unaweza dili na KD halafu Curry akawatungua au mkadili na wote hao Klay akawatungua au mkadili na wote hao watatu green akawatungua au mkadili na wote hao wanne Iggy akawatunguaHapa ni kutafuta jinsi ya kudili na KD tu, wengine watasinzia tu.
Ubaya ni kwamba unaweza dili na KD halafu Curry akawatungua au mkadili na wote hao Klay akawatungua au mkadili na wote hao watatu green akawatungua au mkadili na wote hao wanne Iggy akawatungua
Ndio hapo tatizo linakuja hamjui nani ni nani .
Mimi nafikiri KD wala siyo wa kuumiza kichwa...aachwe tu, ila hao wengine ndiyo wa kuwabana...anyways, coach Lue knows more, naamini atakuja na a winning game plan...Hapa ni kutafuta jinsi ya kudili na KD tu, wengine watasinzia tu.
Mimi nafikiri KD wala siyo wa kuumiza kichwa...aachwe tu, ila hao wengine ndiyo wa kuwabana...anyways, coach Lue knows more, naamini atakuja na a winning game plan...
Ha ha haaa, kumbe ni CAVs ndio walikuwa off, nilidhani ni GSW ndio waliwabana hadi wakashindwa kuonana na kuanza kupoteana. Mbona pale mwanzo mashabiki wa CAVs walikuwa moto sana hadi pale GSW walipokataa kuwaacha wapumue?Leo tulikuwa off kabisa, so many missed open shots, missed layups, turnovers etc etc. All in all, we are within reach.
Ha ha haaa, kumbe ni CAVs ndio walikuwa off, nilidhani ni GSW ndio waliwabana hadi wakashindwa kuonana na kuanza kupoteana. Mbona pale mwanzo mashabiki wa CAVs walikuwa moto sana hadi pale GSW walipokataa kuwaacha wapumue?
Sawa, ila mimi nilisema kwamba mchezo wa kwanza ndio utatoa indiketa ya wapi kila timu itaelekea lakini nikapingwa nikikumbushwa ya mwaka jana! Haya, ngoja tusubiri game ya pili Jumapili.Timu unayoshabikia ikishinda kila unalolisema ni sahihi mkuu, sisi huwa tuna msemo mmoja wa kilugha unasema "Iyishe nti yibhi nsega" yaani mbwa aliyeweza kumwua adui huwezi kusema ni mbwa koko.
His mates trying to get him going lakini ndio hivyo.. Ila mwenyewe alisema as long as timu inashinda his rust isn't an issue to him. Klay can catch fire at any moment, sidhani kama atamaliza hizi postseason hivi..
Ubaya ni kwamba unaweza dili na KD halafu Curry akawatungua au mkadili na wote hao Klay akawatungua au mkadili na wote hao watatu green akawatungua au mkadili na wote hao wanne Iggy akawatungua
Ndio hapo tatizo linakuja hamjui nani ni nani .
Hahaha ndo maana nakaaga kusubiria matokeo yakiwa'prove people wrong/right.Day dreamers at their best
One down...three to go!
Great! I like this kind of thinking. Simple logic with no pompous bragging.Hapana sijasema hivyo...ili kutwaa ubingwa ni lazima timu ishinde game nne na ziko njia nyingi za kufikisha game nne. Leo tumeshinda moja bado tatu kufikisha nne (QED) CAVs on the other hand hata hiyo moja hawana kwa hiyo tunaweza kusema Zero in the bag...four to go! πππ!
Mkuu msemo mzuri sana. Niruhusu niuongeze kwenye misemo yangu. Una somo.Timu unayoshabikia ikishinda kila unalolisema ni sahihi mkuu, sisi huwa tuna msemo mmoja wa kilugha unasema "Iyishe nti yibhi nsega" yaani mbwa aliyeweza kumwua adui huwezi kusema ni mbwa koko.