NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Lini sasa!? Maanake tangu kwenye WCF kiwango chake ni kile kile tu yaani kachoka japo bado anajitutumua kwenye defense... General performance ya timu inafunika hilo!

Hongereni kwa ushindi.
His mates trying to get him going lakini ndio hivyo.. Ila mwenyewe alisema as long as timu inashinda his rust isn't an issue to him. Klay can catch fire at any moment, sidhani kama atamaliza hizi postseason hivi..
 
CAVs wasali sana mzuka wa Klay Thompson ubaki hapo hapo usingizini na wasijaribu kuuamsha...ukiamka ndoto zao zitazimika mithili ya mshumaa ulionyeshewa mvua.
 
Hapa ni kutafuta jinsi ya kudili na KD tu, wengine watasinzia tu.
Ubaya ni kwamba unaweza dili na KD halafu Curry akawatungua au mkadili na wote hao Klay akawatungua au mkadili na wote hao watatu green akawatungua au mkadili na wote hao wanne Iggy akawatungua

Ndio hapo tatizo linakuja hamjui nani ni nani .
 
Nadhani Cavs watashinda game 1 tu kwenye hii series itakua 4-1 GSW bingwa.
 
Ubaya ni kwamba unaweza dili na KD halafu Curry akawatungua au mkadili na wote hao Klay akawatungua au mkadili na wote hao watatu green akawatungua au mkadili na wote hao wanne Iggy akawatungua

Ndio hapo tatizo linakuja hamjui nani ni nani .

Mkuu KD ndo tatizo kubwa, hawa wengine wanapoteaga kirahisi.

Klay yuko usingizini na nadhani ameshindwa kucope na ujio wa KD.
 
Hapa ni kutafuta jinsi ya kudili na KD tu, wengine watasinzia tu.
Mimi nafikiri KD wala siyo wa kuumiza kichwa...aachwe tu, ila hao wengine ndiyo wa kuwabana...anyways, coach Lue knows more, naamini atakuja na a winning game plan...
 
Leo tulikuwa off kabisa, so many missed open shots, missed layups, turnovers etc etc.

All in all, we are within reach.
 
Leo tulikuwa off kabisa, so many missed open shots, missed layups, turnovers etc etc. All in all, we are within reach.
Ha ha haaa, kumbe ni CAVs ndio walikuwa off, nilidhani ni GSW ndio waliwabana hadi wakashindwa kuonana na kuanza kupoteana. Mbona pale mwanzo mashabiki wa CAVs walikuwa moto sana hadi pale GSW walipokataa kuwaacha wapumue?

Kama unakumbuka mimi nilitoa tahadhari tu kwamba mchezo wanaoucheza CAVs na ule wa GSW ni tofauti kabisa. Nikaonya kwamba CAVs wakicheza mchezo kama ule waliokuwa wanawachezea Celtics wakae chonjo, wanaweza wakaadhiriwa na ndicho kilichotokea leo.

Mchezo huu haukuwa tofauti sana na ule nilioushuhudia Oracle Januari 16 timu hizi zilipokutana kwa mara ya mwisho. Hadi mwisho wa mchezo ubao ulisoma GSW: 126, CAVs: 91.
 
Ha ha haaa, kumbe ni CAVs ndio walikuwa off, nilidhani ni GSW ndio waliwabana hadi wakashindwa kuonana na kuanza kupoteana. Mbona pale mwanzo mashabiki wa CAVs walikuwa moto sana hadi pale GSW walipokataa kuwaacha wapumue?

Timu unayoshabikia ikishinda kila unalolisema ni sahihi mkuu, sisi huwa tuna msemo mmoja wa kilugha unasema "Iyishe nti yibhi nsega" yaani mbwa aliyeweza kumwua adui huwezi kusema ni mbwa koko.
 
Sawa, ila mimi nilisema kwamba mchezo wa kwanza ndio utatoa indiketa ya wapi kila timu itaelekea lakini nikapingwa nikikumbushwa ya mwaka jana! Haya, ngoja tusubiri game ya pili Jumapili.
 
His mates trying to get him going lakini ndio hivyo.. Ila mwenyewe alisema as long as timu inashinda his rust isn't an issue to him. Klay can catch fire at any moment, sidhani kama atamaliza hizi postseason hivi..

Na hiyo ni probability anaweza kuendelea na perfomance yake ya hivi hivi mpaka mwisho, kwa sababu kadri series inavyoenda ndio inatazidi kuwa ngumu. Na ukizingatia tayari anaona wapo wanaoweza kuleta Points basi kuna uwezekano mkubwa akaconcetrate kwenye defense tu ambapo ndio anaonekana kujitahidi sana.
 
Ubaya ni kwamba unaweza dili na KD halafu Curry akawatungua au mkadili na wote hao Klay akawatungua au mkadili na wote hao watatu green akawatungua au mkadili na wote hao wanne Iggy akawatungua

Ndio hapo tatizo linakuja hamjui nani ni nani .

Mkuu kwa twasira ya Leo ni dhairi kwamba ikipatikana dawa ya KD tu, tayari tumeshika 30% ya nguvu waliyonayo GSW. Hao wengine pia wana madhara vile vile lakini sio kulinganisha na KD. Mtu kama Curry akinyimwa gap la 3-points shooting hana ujanja sababu hana nguvu za kulazimisha asongelee ring. Green mara nyingi timu ikipotea huwa ana paniki!

Hivyo kazi kibwa ipo kwa KD tu na hata warriors wenyewe walimleta KD kwa sababu ya hii series na sio kingine.
 
Day dreamers at their best
One down...three to go!
Hahaha ndo maana nakaaga kusubiria matokeo yakiwa'prove people wrong/right.
Huyu jamaa ushabiki ulimjaa kichwani bila some logical reasoning to his belief.
 
Hapana sijasema hivyo...ili kutwaa ubingwa ni lazima timu ishinde game nne na ziko njia nyingi za kufikisha game nne. Leo tumeshinda moja bado tatu kufikisha nne (QED) CAVs on the other hand hata hiyo moja hawana kwa hiyo tunaweza kusema Zero in the bag...four to go! 🙂🙂🙂!
Great! I like this kind of thinking. Simple logic with no pompous bragging.
 
Timu unayoshabikia ikishinda kila unalolisema ni sahihi mkuu, sisi huwa tuna msemo mmoja wa kilugha unasema "Iyishe nti yibhi nsega" yaani mbwa aliyeweza kumwua adui huwezi kusema ni mbwa koko.
Mkuu msemo mzuri sana. Niruhusu niuongeze kwenye misemo yangu. Una somo.
 
Back
Top Bottom