Harden has been sharing the ball pretty good these two games...17 and 8 i think..Kwenye Assist na Rebounds hujaona kwenye timu yake sio NBA yote.. Assist kuna Rondo na kina John Wall... Rebounds ndio usiongee kabisa.. AD pekee amepokea rebounds 19 leo kama sijakosea
They Drafted him,Gave him Max Deal...laughing all the way to the bank..Still very young with bright future ahead of him.Additionally,he doesn't wanna be a villain at this time of his career.And why is AD on NOLA??
Aiming for 82-0? Tall order but I bet you are. Good luck...!Hard fought win....[HASHTAG]#LetsGoCavs[/HASHTAG]
Aiming for 82-0? Tall order but I bet you are. Good luck...!
Give'em time, they'll be settling down soon. Today they were real lucky...the Suns were pretty impressive!teh teh teh to be honest Warriors are too confused.. Sijui ni kile kichapo cha finals wanakiishi mpaka leo
I hope the team will find a way to close the games early.. Inauma kuona Starters wakikomaa mpaka quarter 4 wakati last season walikuwa wanaachia bench players..Give'em time, they'll be settling down soon. Today they were real lucky...the Suns were pretty impressive!
Lakini kumbuka bench lenu mwaka huu siyo imara kama la mwaka jana! Hivi mmepoteza bench players wangapi? Barnes, Barbosa, Ezeli, Speights, Bogut ...I hope the team will find a way to close the games early.. Inauma kuona Starters wakikomaa mpaka quarter 4 wakati last season walikuwa wanaachia bench players..
Hao jamaa ulowataja walikuwa kundi muhimu sana katika "mafanikio" ya GSW mwaka jana.Lakini kumbuka bench lenu mwaka huu siyo imara kama la mwaka jana! Hivi mmepoteza bench players wangapi? Barnes, Barbosa, Ezeli, Speights, Bogut ...
Barnes na Bogut walikuwa ni starters.. Naliona pengo kubwa sana la Barbosa na Ezeli.. Huwezi kufananisha Varejao na Ezeli. Sasahivi tunalazimika kila sekunde uwanjani atleast kuwe na starters wawili.. Hii inawachosha sana.. Kerr lazima atengeneze bench imara mwanzoni mwa msimu asijali kupoteza hizi mechi za mwanzo mwanzo.. Inasikitisha kuona bench players wakicheza muda mchache sana...Lakini kumbuka bench lenu mwaka huu siyo imara kama la mwaka jana! Hivi mmepoteza bench players wangapi? Barnes, Barbosa, Ezeli, Speights, Bogut ...