NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Mimi nimeanza kufuatilia huu mchezo mwaka huu(kuna jamaa yangu alinishawishi kuangalia),ilikua ni kwenye hatua ya PLAYOFF games...
GSW alikua anacheza na OKC...
Kwakuwa hiyo ndio ilikua game yangu ya kwanza kuiangalia nikajikuta niko upande wa GSW...
Baada ya hapo nikaja kuangalia game zote za fainali,kati ya GSW na Cavs...
Baada ya hizo games kuisha na Cavs kuwa washindi,nikatangaza humu kwamba nitakuwa shabiki wa GSW...
Nikapokelewa kwa mikono miwili na Tyta na Steph Curry ...
Mchezaji nayempenda zaidi kwasasa ni Steph Curry...
Kwakuwa ni mchezaji wa timu ninayoishabikia..!
Kwakipindi hiki kifupi nilichoanza kuangalia bball nimegundua wachezaji wanaopendwa zaidi NBA kwasasa ni Lebron James,Westbrook na Kyrie Irving..!
Timu inayopendwa zaidi ni Cavs..!

Asante kwa majibu yako mkuu.

Mfumo uko namna hii,

NBA ina timu 30, kila timu ina washabiki wake tufanye average ya mil 1 kwa kila timu (huu ni mfano tu),

Sasa kama timu ikiwa ni nzuri sana ina maana itakuwa inazifunga hizo timu zingine, wale washabiki mil 1 wa hiyo timu watakuwa wanafurahi sana, ila wale washabiki wengine mil 29 kwa vyovyote hawawezi kufurahi, isipokuwa kila hiyo timu nzuri itakapokuwa inacheza wataishangilia timu pinzani dhidi yake.

Msimu ulioisha GSW amezifunga timu zote kwenye regular season na kaweka rekodi ya kushinda gane 73 kati ya 82 huku Steph Curry akiwa ndo chachu ya hayo mafanikio, je unataka washabiki wa timu pinzani wafurahie?

Ni kama hata kwenye mpira, utakuta kwamba wachezaji wanaofanya vizuri ndo wanaoonekana kuchukiwa, au timu zenye kufanya vizuri zinakuwa zinaonekana kuchukiwa.

Kifupi ni kwamba, kama unanifunga, unanizidi uwezo kwa nini kwa nini nikushangilie?
 
Ahahaaaaaah...
Nimekuelewa bradha...
Ila msimu uliopita bingwa si Cavs...
Sasa mashabiki wa timu zote zilizobaki ilibidi wahamishie chuki zao kwa Cavs na Irving...
Kwasababu hao ndio MABINGWA...
Au haiko hivyo..!?
 
Msimu ulianza kwa GSW warriors kushinda mechi 24 mfululizo, na hapo ndo walipoanza tambo za kwamba hakuna timu yoyote ile inayoweza kuwasimamisha.

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Waliendelea kuzishinda timu pinzani kwa point nyingi ngingi sana, na mpaka ile regular season inaisha walikuwa wameshinda game 73 kama nilivyokwambia awali.

Sasa walipoingia fainali na Cavs, washabiki wa zile timu zingine zilizofungwa na GSW ilibidi wawe upande wa Cavs, ndo kilichotokea sasa.

Baada ya GSW kufungwa kwa aibu (kwa kupoteza ushindi wa 3 - 1), iliwauma sana ikabidi wamsajili Kevin Durant ili aje aongeze nguvu kwenye kikosi kupambana na LeBron James. Na hii imewaongezea chuki zaidi kwa sababu wapinzani wanaona sasa GSW inatisha, kilichobaki ni kuiombea mabaya tu maana katika hali ya kawaida wanatisha.
(Ila kwa LBJ watakaa tu).

Kuna kitu kimoja ukielewe, tatizo la washabiki wengi huwa hatupendi timu zetu zisemwe vibaya, au wachezaji tunaowapenda wasemwe, ambacho ni kitu usichoweza kukiepuka kwenye michezo na ushabiki.

Humu ndani kuna watu hawataki kusikia GSW ikisemwa vibaya, au tukimsema Curry vibaya basi kinanuka humu.
 
LBJ's halloween party cookies

LBJ's.jpg
 
This proves the statement 'Hopefully it still smells a little bit like champagne'. tormented LBJ Long enough not to let it go..It's a good revenge however..

Lazima iume aisee, na jamaa naona anawalipizia sasa.

Hii itaongeza ushindani hizi timu zitakapokuwa zinakutana.
 
Hivi kwanini GSW ndio timu inayochukiwa na watu wengi NBA..?
Pia kwanini Steph Curry ndio mchezaji anayechukiwa zaidi NBA..?
Nimejiuliza hili swali nimeshindwa pata jibu...
Nimehisi labda kwasababu ya UGENI wangu kwenye bball ndio maana sifahamu SIRI ya hii chuki dhidi ya Steph Curry na GSW..!
Kwa wale mashabiki WAKONGWE wa huu mchezo,ni jambo gani Steph Curry na GSW walifanya linalofanya wachukiwe sana..!?
Hii CHUKI nimekuwa nikiishuhudia kwenye official fb page ya NBA hata humu jukwaani pia...
Kule kwenye fb page ya NBA,ikitokea wamepost picha au habari ya GSW utakutana na CHUKI za wazi kabisa dhidi ya Steph na GSW...
Ila kitu kingine cha AJABU hata NBA wakipost habari au picha ya timu nyingine tofauti na ya GSW au Steph,bado utaona kuna watu(wengi) wanaizungumzia vibaya GSW na Steph...
Hii CHUKI huwa naiona hata humu JUKWAANI...
NBA fb page imekuwa ni Page ya GSW/Curry na anti-GSW/Curry,hadi hili jukwaa naona liko hivyo pia..!
Kwanini iwe GSW na Steph Curry pekee wakati NBA ina timu nyingi na wachezaji wengi..!?
Baada ya michael jordan kustaafu nami nikaacha ishabikia chicago bulls na kikapu kizimaaaa sasa hawa GSW wamenifanya nirudi tena shabikia kikapu na hii ndio timu yangu mpya kwa sasa
 
Mimi nimeanza kufuatilia huu mchezo mwaka huu(kuna jamaa yangu alinishawishi kuangalia),ilikua ni kwenye hatua ya PLAYOFF games...
GSW alikua anacheza na OKC...
Kwakuwa hiyo ndio ilikua game yangu ya kwanza kuiangalia nikajikuta niko upande wa GSW...
Baada ya hapo nikaja kuangalia game zote za fainali,kati ya GSW na Cavs...
Baada ya hizo games kuisha na Cavs kuwa washindi,nikatangaza humu kwamba nitakuwa shabiki wa GSW...
Nikapokelewa kwa mikono miwili na Tyta na Steph Curry ...
Mchezaji nayempenda zaidi kwasasa ni Steph Curry...
Kwakuwa ni mchezaji wa timu ninayoishabikia..!
Kwakipindi hiki kifupi nilichoanza kuangalia bball nimegundua wachezaji wanaopendwa zaidi NBA kwasasa ni Lebron James,Westbrook na Kyrie Irving..!
Timu inayopendwa zaidi ni Cavs..!
Gsw ni manchester United ya u.s.a curry anachukiwa kama pogba na Man U inachukiwa kama hao GSW
 
phoenix vs portland 101-101...15sec rem...........Now we all now what time it is....Lillard Time
 
Capture.JPG
Lazima iume aisee, na jamaa naona anawalipizia sasa.

Hii itaongeza ushindani hizi timu zitakapokuwa zinakutana.
haya sasa his hometown MLB Team (Cleveland Indians) wameblow 3-1 lead (WORLD SERIES) Cubs waleee wamechukua ndoo...😀😀
 
View attachment 428573
haya sasa his hometown MLB Team (Cleveland Indians) wameblow 3-1 lead (WORLD SERIES) Cubs waleee wamechukua ndoo...😀😀

DRaymond Green pia ka-tweet!

Hii inaongeza chachu ya ushindani, make sasa hivi ni vita kuu kati ya Cavs na GSW, ninaamini hata game za regular season zitakuwa high rated this time.
 
Karibuni sana George Betram na ze-dudu...GSW ndio gumzo la jiji na Steph Curry ndiye that baby-faced assassin anayetungua bila kumtazama mchawi usoni.
Ahsante sana mkuu...
Tutakuwa pamoja mwanzo mwisho...
Tena ninashukuru nimeanza kuishabikia GSW kipindi KIGUMU..!
Hapa nasubiria game yetu na OKC...
I hope Steph atampoteza Westbrook..!
 
DRaymond Green pia ka-tweet!

Hii inaongeza chachu ya ushindani, make sasa hivi ni vita kuu kati ya Cavs na GSW, ninaamini hata game za regular season zitakuwa high rated this time.
yeah 3-1 sucks...
 
Ahsante sana mkuu...
Tutakuwa pamoja mwanzo mwisho...
Tena ninashukuru nimeanza kuishabikia GSW kipindi KIGUMU..!
Hapa nasubiria game yetu na OKC...
I hope Steph atampoteza Westbrook..!

Mzee wa fungu la kukosa, we mwenyewe umeona msimu ulioisha jinsi ambavyo Cavs walivyowatanguliza mbele GSW kwa baiskeli za mbao then wakawapita shaaa, halafu eti ndo uliochagua kuwashabikia.

Subiri vipigo tu kutoka kwa mmiliki wa ligi.
 
Umeuona moto wa James Harden?

Yuko vizuri msimu huu, akiendelea hivi hivi u-MVP unamuhusu aisee, nadhani ni baada ya kuachana na Khloe ndo karudi kwenye mstari.
hakika...amekuwa ''Point Guard'' sasa....He is Running the offence like never before..Somethings happen as a blessing in disguise..
 
Back
Top Bottom