NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

hakika...amekuwa ''Point Guard'' sasa....He is Running the offence like never before..Somethings happen as a blessing in disguise..

Natamani aendelee na moto huu huu ili kuwe na timu nyingi za kuangalia atleast.
 
Mzee wa fungu la kukosa, we mwenyewe umeona msimu ulioisha jinsi ambavyo Cavs walivyowatanguliza mbele GSW kwa baiskeli za mbao then wakawapita shaaa, halafu eti ndo uliochagua kuwashabikia.

Subiri vipigo tu kutoka kwa mmiliki wa ligi.
Mkuu...
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa imekuwaje...
Lakini nilijikuta navutiwa na GSW tu...
Hata kama Cavs atachukua ubingwa tena kwangu hakuna TATIZO..!
 
Am telling you!this season kuna baadhi ya timu zitafikia pazuri!Time Kama UTAH JAZ,Toronto Raptors, NEW YORK KNICKS,HOUSTON ROCKETS
 
Jaman mie nashusha(download) kila game kuanzia kuanza season hii imeanza!tho nazipa kipaumbele games za OKC (TIMU YANGU) na timu zingine ila kamwe sijaweza download za CAvs Sasa simpendi LBJ
 
Samahani wakuu humu... Nimekuwa si mfuatiliaji kabisa wa mchezo wa Basketball.... Ila naona ni wakati sasa wa kuanza kuujua huu mchezo......

Nimeona nianze kuishabikia Cleveland Cavaliers kwa sababu kuna jamaa ana mwili mkubwa sana aisee... Amejaza tattoos nyingi kweli mabegani. Inaonekana anajua sana.
 
Kesho mbwa Kala mbwa!OKC vs GSW nadhan wanawaza RW nan atamkaba
kwa walichowafanya Clippers leo wanadhihirisha si timu ya mchezo mchezo..hususani ukizingatia GSW Chemistry bado haieleweki,Thunder kuona kama ''wamesalitiwa'' na KD na mambo kadha wa kadha..
 
RW atafia kwenye court kesho, maana atataka kulinda heshima ya nyumbani kwa vyovyote vile.
I believe teamwork ya OKC will provide a tough match-up against the Dubs..''Mr.Do It All'' should keep on believing his teammates,meanwhile,hoping GSW's sluggish start continues...
 
Wadau nataka angalia game ya OKC Vs GSW leo, Naomba link ya kuangalia
 
Back
Top Bottom