Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hongereni wakuu, you won it.
Hivi mkuu Ray we ni timu gani?
Cleveland au LeBron?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni wakuu, you won it.
Majibu yako haya...Hivi OKC bado ina ma fans?
Tho timu yangu ni OKC till idie
Okc vs Gsw can't wait###ThunderUp
RW is the monster
Wapo sana.Team OKC [emoji106][emoji106]
Hivi mkuu Ray we ni timu gani?
Cleveland au LeBron?
Majibu yako haya...
Wapo sana.
122-96 full time!
Team LeBron mkuu!
(Pia ni hater wa GSW, so kila timu inayocheza na GSW ninaishabikia).
Hawa OKC wana mambo ya kitoto sana.. Ndio maana hawatakaa washindeRuss being Russ...............😀😀
![]()
I see.
Kwa hiyo alipoenda MIA ulienda naye na aliporudi Cleve ukarudi naye, siyo?
I see.
Kwa hiyo alipoenda MIA ulienda naye na aliporudi Cleve ukarudi naye, siyo?
Napenda kudeclare interest juu ya kuwa mshabiki wa LBJ, since then.
Huwa ninaamini kila mtu ana sababu zake za kuipenda timu flani, iwe kwa sababu ya mchezaji, timu kuwa mahali anapoishi, timu kucheza vizuri kwa mfumo aupendao mtu, iwe kwa sababu ya kupenda timu ambayo ni underdog, iwe kwa sababu yoyote ile lakini kimichezo ushabiki ni ushabiki.
Bila kushahau, timu ya mpira ni kama jeshi, unapoenda vitani unakuwa na confidence ya kwenda kushinda vita otherwise hupeleki jeshi vitani. Ikitokea ukashindwa lazima ufanye assessment ya wapi umekosea ili ufanye adjustment, na sababu unazoziona wewe kama sababu kuu za msingi za wewe kushindwa siyo lazima adui azione ni valid.
With confidence, nasema CAVs akikutana na GSW atachukua ubingwa, awemo Curry, asiwemo Curry! Tukikutana na SAS hapo ni issue nyingine tena, maana wale wazee siwaamini amini, ila GSW tutawakalisha.
Curry ni fundi balaa na GSW nilianza kuwapenda msimu uliopita pamoja na kupigwa comeback na cavs eti wala sikuumia ndio kwanza nilizidisha maloveeeeeee kwaoKaribuni sana George Betram na ze-dudu...GSW ndio gumzo la jiji na Steph Curry ndiye that baby-faced assassin anayetungua bila kumtazama mchawi usoni.
Oh ok, got ya.
Ama nimesahau au sikuiona.
Naona CAVS wameanza na moto kidogo msimu huu...
Cavs naona Chemistry imekubali.
Wameshajua nani anasimama wapi, nani ana jukumu gani.
Love, KI na LBJ wote wako moto sana.
Ila nahisi watafanya trade kubwa kabla ya ile trading deadline ili kuboresha kikosi.
Nahisi litakuwa jina flani kubwa kubwa...
Be on the lookout...
Safari hii cavs anakaa kwa gsw a.k.a barcelona ya u.s.aHii hata mimi naifikiria, make kupambana na wale GSW si kitu rahisi kwa kikosi alichonacho Cavs.
KL anaweza kuwa traded? Make ikitokea ni kutafuta mtu wa replacement namwona kama yeye ndo mbuzi wa kafara.
OKC fans... mbiligenda, Soso J, Codeblack are you there? Are you following today's game? I bet you aren't now though you were then...I mean the first quarter! My friend Raimundo must also be following this game very closely...ha ha haaa....!
Ze dudu naona unajisahaulisha ya europa kidogo, come back home OT!Safari hii cavs anakaa kwa gsw a.k.a barcelona ya u.s.a
Kikubwa wewe ulikuwa fan sababu alikuwepo Hasheem thabeet!wenzako ni die hard fan toka mwaka 2002Hivi OKC bado ina ma fans?