NBA 2016/2017 Season Special Thread

Hawa Warriors wakiguswa tu wanapewa foul, lakini ni tofauti kwa CAVS.
Kumbe na wewe umeliona hilo, halafu lue akiongea wanasema ni excuse! hii game kama mambo yataendelea itaharibika.
 
Reactions: BAK
Nimeliona sana na linaudhi kweli Mkuu. Wawe fair kwa team zote.

Kumbe na wewe umeliona hilo, halafu lue akiongea wanasema ni excuse! hii game kama mambo yataendelea itaharibika.
 
Nimeliona sana na linaudhi kweli Mkuu. Wawe fair kwa team zote.
Halafu wenyewe wakija Quicken loan wakifanyiwa unfair decision kama hizi kinakuwa ndio kisingizio.

Hawa marefa wasituharibie fainali
 
Reactions: BAK
Halafu wenyewe wakija Quicken loan wakifanyiwa unfair decision kama hizi kinakuwa ndio kisingizio.

Hawa marefa wasituharibie fainali
Punguza presha kaka...
Timu bora ndio itakayoshinda katika hizi fainali...
Mbona bado mapema sana..!
 
It does not look for CAVS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…