Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hahaah mbona uoga bro tulia gemu bado ngumu sana.sawa kabisa Shumpert anapiga kazi hata KD anaonekana Kwa matukio tu.
Ila sasa ubaya wa hawa jamaa second half wanakuwaga kama ndio wanaanza hivi, ila hata Tyronn analifahamu hilo.