Wabongo mnshangaza kweli kweli...kwa nini mtu uwe na haraka ya kuwahi penye hatari? Sasa wewe mtu unaonywa toka mapema kabisa kuwa walipuaji wataingia mjini, wewe unatamani siku ifike haraka ushuhudie unavyolipuliwa...ha ha haaa!Wazee game three naona inachelewa tuanze kuwapunguza spidi hawa madogo!
Wabongo mnshangaza kweli kweli...kwa nini mtu uwe na haraka ya kuwahi penye hatari? Sasa wewe mtu unaonywa toka mapema kabisa kuwa walipuaji wataingia mjini, wewe unatamani siku ifike haraka ushuhudie unavyolipuliwa...ha ha haaa!
Unajua duniani kuna watu wa aina mbili wanaonishangaza kweli kweli...wa kwanza anaitwa sadist na wa pili anaitwa masochist. Pamoja na hawa watu kutofautiana kitabia, kila moja ili aweze kutimiza ndoto yake, anamhitaji huyo mwingine. Wa kwanza ni mtoaji lakini ili aweze kuridhika lazima pia awepo mpokeaji. Kama binadamu, aina ya bidhaa inayotolewa na kupokewa ndio huniacha hoi.Ha ha ha, sisi tupo tunawasubiri kwa hamu sana, maana hii ni dharau sasa.
Hivi huu uzi wetu bado upo...
Majukumu tu...ngoja nitajitahidi ku-keep up with the pace...Hahaha asee Mkuu ulipoteleaga wapi bhana?!. Huu uzi upo sana asee. Na kama kawaida this time of the year ndo unakamataga audience zaidi. Karibu tena asee.
Game ni saa 10:00 alfajiri keshoSorry wakuu ..game 3 inachezwa saa ngapi make alfajiri sijaona
Asante mkuuGame ni saa 10:00 alfajiri kesho
[emoji459] [emoji459] [emoji459]
Mkuu...
2 down...2 to go? Yeah, as of now the Warriors are half-way down the finishing line while the CAVs have yet to start! Within less than 4 hours, we will know whither to...good luck everybody, don't you start panicking guys.
Nasikia tetesi kuwa NBA wasingependa kuona sweep kwa sababu hiyo itawakosesha mapato sasa sijui watafanya nini. Mwaka jana walifaidikia sana kwa series kuendelea hadi game 7 na sasa wameanza kutafuta namna kuzuia isiishe mapema waweze kukusanya zaidi. Hata hivyo sina hakika kama hilo litakubalika kwa [HASHTAG]#dubnation...strengthinnumbers![/HASHTAG]Mkuu...
Tuombe Klay Thompson awe mtamu in both, defense and offense...
Hapo shughuli itaisha mapemaaaaa..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Kwamba CVs leo watapendelewa ili washinde au?Nasikia tetesi kuwa NBA wasingependa kuona sweep kwa sababu hiyo itawakosesha mapato sasa sijui watafanya nini. Mwaka jana walifaidikia sana kwa series kuendelea hadi game 7 na sasa wameanza kutafuta namna kuzuia isiishe mapema waweze kukusanya zaidi. Hata hivyo sina hakika kama hilo litakubalika kwa [HASHTAG]#dubnation...strengthinnumbers![/HASHTAG]
Kwa GSW hii...Kwamba CVs leo watapendelewa ili washinde au?
Mkuu...Nasikia tetesi kuwa NBA wasingependa kuona sweep kwa sababu hiyo itawakosesha mapato sasa sijui watafanya nini. Mwaka jana walifaidikia sana kwa series kuendelea hadi game 7 na sasa wameanza kutafuta namna kuzuia isiishe mapema waweze kukusanya zaidi. Hata hivyo sina hakika kama hilo litakubalika kwa [HASHTAG]#dubnation...strengthinnumbers![/HASHTAG]
Kwamba CVs leo watapendelewa ili washinde au?