Hilo lingeweza kutokea kama GSW angepoteza fainali ya mwaka huu...nimetumia angepoteza kwa sababu sizioni dalili za CAVS kuweza kurud na kushinda hii fainali kama ilivyotekea mwaka janaHahahahahah mkuu spend the money get the money and everything.
No matter what!?
Naona sasa watu wanaanza kuchukia uwepo Wa KD pale GSW wakati msimu unaanza hii swala hawakuliona.
Ila baada ya Two defeats za playoffs na kuona no future hope to come ,buddies mnaanza kulalamika.
Mazee mnazingua.