George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ooh...Tristan mbovu hasa kwenye hizi playoffs mbona ipo wazi. Love speed yake imepungua, Cavs A1 players ni LJ na Irving tu.
Bench la Cavs ndo hamna kitu kabisa tofauti na lile la GSW. Angalia LJ akitoka gape linavyoongezeka
Tristan mbovu hasa kwenye hizi playoffs mbona ipo wazi. Love speed yake imepungua, Cavs A1 players ni LJ na Irving tu.
Bench la Cavs ndo hamna kitu kabisa tofauti na lile la GSW. Angalia LJ akitoka gape linavyoongezeka
True kabisa mkuu japokuwa yule jamaa alikuwa anacheza kama mwehuMatthew Dellavedova is missed big time, kazi aliyokuwa anaifanya hakuna aliyeweza ku-cover gap lake hata ukiwajumlisha wawili kwa pamoja.
Yeah...Halftime: GSW-67, CAVs-61...mchezo bado kabisa.
Tristan hajawahi kuwa A1 player huwezi muweka Tristan level moja na kina LJ, curry, KD, Irving na players wa hiyo calibre na kwenye playoffs ndo kapotea kabisa yeye ni average player, zaidi bench la Cavs sio zuri.Ooh...
Kumbe ni kwenye hizi playoffs..!
Hapo nimekuelewa mkuu..!
Sasa inakuja ile quarter mbaya zaidi kwa Warriors.. Kama Cavs wataweza kuwasimamisha Warriors kwenye hii quarter basi angalau wanaweza kupambana kwenye quarter ya mwisho..
Ila Cavs leo wako vibaya sana behind the line.. Bron pekee ndie namwona anatungua 3
Sio nzuri kwenye hii series tu mkuu maana walishazoea mteremko wa East.. Mkiwambiwa East is weak mnabisha bisha.. Bench la Cavs is among the stacked benches lina 2 All Stars and other good role players.. Ni vile tu wamekutana na wababe. Hata kwenye huu uzi hao hao Cavs walishaongelea bench lao ni zuri kuliko la Warriors..Tristan hajawahi kuwa A1 player huwezi muweka Tristan level moja na kina LJ, curry, KD, Irving na players wa hiyo calibre na kwenye playoffs ndo kapotea kabisa yeye ni average player, zaidi bench la Cavs sio zuri.
With only Bron doing all the work hakuna namna mtashinda hii game.. Quarter ya 3 Curry will come to himself and extend the lead even to the double digits..Nadhani leo Cavs watahold on kwenye hii game.
We get this one, we get the next one too.
Cavs tunahitaji mtu kama John WallSio nzuri kwenye hii series tu mkuu maana walishazoea mteremko wa East.. Mkiwambiwa East is weak mnabisha bisha.. Bench la Cavs is among the stacked benches lina 2 All Stars and other good role players.. Ni vile tu wamekutana na wababe. Hata kwenye huu uzi hao hao Cavs walishaongelea bench lao ni zuri kuliko la Warriors..
Cavs tunahitaji mtu kama John Wall