Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raimundo see u again game 4 at your room [emoji12] ( usinimaindi bro[emoji1] )Ha ha ha, eti roho mbaya.
Kama jambazi kwenye movie.
Tatizo akina Kyrie Irving walikua wanashangilia kwa kejeli sana...Dah siamin kama tumepigwa hadi home court
Ndiyo utaona tofauti ya Michael Jordan na Lebron James.
Shamba likiwa na bangi lako likiwa na dhahabu la serikali.Masikini haokoti akiokota anaambiwa kaiba.
Raimundo see u again game 4 at your room [emoji12] ( usinimaindi bro[emoji1] )
Usijali bro may be mtafanya maajabu ya mwaka jana usijali sana[emoji12]Bro mimi ni mshabiki wa sports mpaka zile za kwenye vibanda umiza, kuna maneno kule usipime.
Simba wameharibu ubingwa, nikategemea kina LBJ wataninyanyua ila naona kabisa leo hawajanitendea haki.
Ngoja tuenjoy post game analysis za ESPN sasa...
Usijali bro may be mtafanya maajabu ya mwaka jana usijali sana[emoji12]
Kumbe na wewe umeliona hilo, halafu lue akiongea wanasema ni excuse! hii game kama mambo yataendelea itaharibika.
Vipi wakuu...Halafu wenyewe wakija Quicken loan wakifanyiwa unfair decision kama hizi kinakuwa ndio kisingizio.
Hawa marefa wasituharibie fainali
Ndiyo hizo nazisemea Mkuu, hakukuwa na umakini kabisa pamoja na umuhimu mkubwa wa huu mchezo wa leo. Nimemshangaa Lebron hasa dakika za mwisho.
Hahahahhaha huyu jamaa mbaya sana .Ha ha ha, Durant katubania mkuu.
Anafanya kama vile ni ugomvi.
Naona Vince Carter kamchana alikuwa anaongea muda si mrefu...Watamchana sana LBJ, Kyrie na Kyle leo wamefanya kazi nzuri sana mwishoni ila jamaa kazingua mwishoni sana.
Hongera kwako pia mkuu..Mag3 Steph curry king shaat na wengine hongera sana wakuu