King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Asante sana Mkuu!. Unajua kuna wakati nlivokuwa nafuatilia scores, nikapata imani kuwa "At last, now we are going to have a series...". Mi ni mshabiki mkubwa sana wa Dubs, lakini kupenda kwangu "fair", nkawa siogopi kama hii game Cavs wangeshinda, maana hamna kitu sipendagi (japo ni ngumu kuzuia) kama watu waanze kuwaona/kukuona "uko perfect/close to achieve perfection". Maana ndo zile za "La mgema likilia...", mwisho wa siku unasahau lengo lako halisi ni nini, una'crumble.Mag3 Steph curry king shaat na wengine hongera sana wakuu
I was ready kusikia Cavs wame'hold their ground, ili irudishe (kama tulijisahau) ule ufahamu kwamba "even us/GSW can be beaten, we are not immortals yet".
But so far, so good...Dubs keep rolling, I just hope come next game, we'll get the job done once and for all (and I know the stakes are higher).