Kama una azam tv,check channel 119 wanaonyeshaHii game inaonyeshwa thru channel gani
King'amuzi kipi
Kama una azam tv,check channel 119 wanaonyesha
Startimes TV1 wanaonyeshaKama una azam tv,check channel 119 wanaonyesha
Ila leo Cavs wapo vizuri defensively...si kama game 318pts kwa hii GSW si deficit kubwa hata kidogo!
CAVS wakiondoa mguu kwenye gas pedal imekula kwao!
Wamekosa shots nyingi sana...GSW walianza game wamesinzia,ile speed ya first quarter ndio imeamua game ya leo