NBA 2016/2017 Season Special Thread

Single handed Mkuu!? What about Lebron's efforts together with supporting cast!?


Hongereni CAVs [HASHTAG]#defendtheland[/HASHTAG], mmetunza heshima ya uwanja wa nyumbani ingawa kazi bado mnayo. Sasa inabidi GSW warudi uwanjani kwao Oracle wakajipange upya. Kyrie kaiua Warriors single-handed, well played.

cc: Raimundo, Nzi
 
Kwa hiyo KD ni zaidi ya mtu moja...kama ni hivyo tunasubiri nini kumvika taji la superman!
KD has a long way to go to even be in a conversation of being better than this dude!
 

Attachments

  • IMG_5355.JPG
    145.2 KB · Views: 34
Single handed Mkuu!? What about Lebron's efforts together with supporting cast!?
Yaani Jr. kama akiendelea angalau kufunga 15 points na Love akafunga 20+ per game, basi series yaweza kuwa ndefu! Ila inategemeana kama Cavs watacheza defense kama ya leo na ku-shoot efficiently!
[HASHTAG]#letsgocavs[/HASHTAG] [HASHTAG]#CavsIn7[/HASHTAG]
 
Mbona mlikuwa mnalalamika kwamba LBJ na KI hawana wasaidizi? Kumbe mkifunga mnawakumbuka lakini mkifungwa mara oh, hawana contribution yoyote, yaani ni kama vile hawapo. Kwenye game zote tatu za mwanzo mliwaponda kweli kweli mkitishia kuwatosa wote pamoja na KL na kuanza kuwatafuta mara AD, mara PG, mara nani vile...kumbe hamwahitaji kihivyo! Good luck katika Game 5 Oracle Jumatatu.
 

Ungesoma kama mpenzi wa basketball, na siyo mnazi wa GSW usingeandika ulichokiandika! Nimetumia neno KAMA! Tatizo ni wao kukosa consistency! Ukiwa PG na AD unajihakikishia angalau over 90% consistency, kama ilivyo kwa GSW's big 3!

Lakini Swish na Love wakiwa consistent na kucheza kama leo, hakika series itakuwa ndefu! Tatizo ni kwamba, je watakuwa consistent? Hilo ndilo sina uhakika nalo, kama ambavyo nitakuwa na uhakika na PG au AD.
 
Well, well, well!...Here we are again at the familiar if not ominous 3-1 mark!.

First off, my utmost sincere CONGRATULATIONS to the Cleveland Cavaliers and Cavs fans all over the world. You did perform superbly and defend the honor of your court. Kudos once again.

Second, my fellow Dubs fans...don't despair, don't lose faith, we still have 1 game to close this Series (unless the NBA gods are playing us in for a very cruel fate).

I always know and believe, the only sure way of putting that W out of GSW ever-reaching hands is for an opponent to maintain the double digit throughout the game AND consistently throughout the 4th quarter. And today, the Cavs did that well, kudos to them.

And here is one of my all time worries or should I say a "doubt" about any stretch of streak to finish perfect on any sport. This started well far back during the 2007 New England Patriots season - Wikipedia. There is something I hate about that "seeming" chase for perfect record and the "no one/team has ever come back from..." There is this tendency that, something is about to go totally the other way. That "No Team Has Ever Come Back From..." should be left to the books, sio katika modern times hizi asee, ,sio kwa team hii ya Cavs ambayo ina determination and talent ambayo ikitumika fresh inafanya maajabu.

Mpaka inafika time nasema "why can't we just play "low key", man?!" maana we play so good, so historically only to later on come under situations like these. It's as if we have a "3-X/Blowing up-Syndrome". Haha, pardon me Steph Curry and my ninja Mag3 sio kama naingiza upepo, nah...najiuliza tu "Why can't we get this thing done?!". Anyway, we have Oracle at our back this time, and I believe, by then...We will close this business and walk away the victors...otherwise...we'll have another cruel Meme-trolling off-season.

May the best team win, partners!.
 
Mkuu @KingShaat mimi nilishamaliza kwa kusema hakuna kitu kibaya kama kupigana na mtu ambaye hana cha kupoteza.. If we want this thing, we should take game 5 very seriously. Ikiwezekana hata kwa some changes in our line up.. We need Iggy in and Zaza out for starters, we need to start with a small lineup na tujitahidi tu kumaliza game on first quarter unless itakuwa a nightmare walking on our shadows.. Cavs leo waliamua tu kujitoa fahamu na kushoot ili wakipata inakuwa faida kwao na wakikosa hawana cha kupoteza.. Hiyo confidence ndio imewasaidia kutungua zile tatu tatu kila wakifanya attempt..

Tukigive up Game 5 naona tunarudi kule kule kwa blowing 3-0 lead.. There is no way tutashinda Game 6 na Game 7 Cavs watakuja na full confidence..
 
Wakuu kina Nzi Raimundo Lizarazu hongereni sana asee. Yaani leo mlivocheza vizuri mna haki ya kuja hapa na kuappreciate that performance asee.
Sasa kazi kwetu kukomaa Game 5 tumalize.
Hongereni sana wazee na wale wote Cavs fans.

Asee!! Tunashukuru sana kwa appreciation japo nimeona wenzako Twitter wana lalamikia maamuzi ya marefa, ila nimeona ni lame excuses tu sababu hakuna pundit yoyote aliyeongea kuhusu refa na pia hata nikivyoingia huku sijakuta kingine zaidi ya congrats!

Ni kweli tunastahili pongezi kwa maana ile performance ya leo ilikuwa sio ya dunia hii,aggressiveness na umakini mkubwa umesaidia sana wakati huo watu kama zaza wakitupatia free throws za mara kwa mara, ilifanya game iwe nzuri sana kuangalia hadi mwisho! Natamani sana hata game 3 tungecheza vizuri mpaka last sec kama ilivyokuwa leo.

Pia nimependa sana Kyrie alivyokuwa na accuracy yaani kila alivyofanya jumping alinifurahisha na hasa baada ya kuwa outscore splash brothers(27 points combined) kwa 40 points. Love leo kasawazisha zile misses za juzi.

Japo nafahamu huko tunapokuja sio salama kabisa, ila kwa confidence hii niliyoiona Leo najipa matumaini series inaweza kuendelea zaidi na zaidi.

Na mimi pia nawapa hongera mkuu, kwenda 15-0 sio mchezo almanusura mtutie aibu ya karne! Ila na nyie nao yaani mlitaka mtupige ufagio wabingwa watetezi kabisa halafu hatuna hata majeruhi!? Huu ushindi wa Leo umenipa furaha sana.
 
Kama wengine tulivyoahidi toka mwanzo, timu ikifanya vizuri tutaipongeza bila kisingizio chochote...hata hivyo jana niliamua tu kuwafuatilia wananvyocheza wachezaji wawili wa GSW, Stephen Curry na Draymond Green.

Stephen Curry nilimfuatilia baada ya kusoma tweets za wapenzi wa CAVs walivyochukizwa na kitendo alichofanya kushangilia 3-pointer ya KD mwisho mwisho wa Game 3 na kuwataka wachezaji wao kumshughulikia.

Draymond Green nilimfuatilia baada ya kusoma maoni ya baadhi ya watu wakiwashauri wachezaji wa CAVs kumwandama kwa sababu pamoja na kuwa defender mzuri anacho kinachoitwa short fuse anapohisi kachezewa vibaya.

Niliyoshuhudia Curry akifanyiwa hata akiwa hana mpira na Green anavyochokozwa akiwa na mpira naweza kusema CAVs waliamua kusikiliza na kutekeleza ushauri waliopewa mradi wapate ushindi na walifanikiwa sana kwa hilo.

Mimi silalamiki ila nashauri marefa wawe fair katika jukumu la kuwalinda wachezaji kama wanavyomlinda LeBron. Sijui ni kwa nini pamoja na kusukuma wazi wazi na kutembea na mpira zaidi ya hatua tatu hapigiwi filimbi.

Labda ni mimi tu na kwa hili natanguliza samahani kama nakosea, uchezaji wa Lebron wakati mwingine anachofanya akifanya mchezaji mwingine yeyote lazima foul itapigwa lakini si kwa King LeBron!
 
Maamuzi ya referees hata mama yake KD kayalalamikia. Game 5 itakuwa vute nikuvute ila kama CAVS wakianza vizuri quarter ya kwanza kama kwenye game 4 kwa kuweka gap kubwa basi kuna uwezekano wa kusteal at least one game in Oakland kwa hiyo kulazimisha game 5. Kama siyo KD ningeweza kusema CAVS watashinda the next 2 games.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…